kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,788
- 5,027
Kutokana na changamoto ambazo nimepitia nimegundua akili ya mtu inahitaji utulivu zaidi ili ikupe kitu kilicho bora zaidi.
Pamoja na kuwa akili inahitaji utulivu kitu kingine mwanadamu anatakiwa kuwa nacho ni uvumilivu toa papara kwenye mambo yako hata kama unashindana na watu wa namna gani wewe chukulia fresh tu usiipe akili yako uzigo wa kufikiria saana utakuja kufa bwege wewe.
Nakumbuka miaka Kazaa apo nyuma nilikuwa na ugonjwa wa kitu kinacho itwa serious.
Ichi kitu kilinitesa saana mpaka nilikuwa na fikiria kwenda kwa waganga ili mambo yangu yawe yanatimia kwa wakati.
Ila kwa bahati nzuri ugonjwa uo ulipona kitu kingine acha kuwa serious utakuja kufa Kuna mambo mengine yachukulie poa tu ili kuepusha kujipa majukumu ambayo yatakuletea stress hapo badae.
Jifunze kushindwa pia usipende kushinda kila siku utakuwa Michawi siku moja
Asanteni