Matuta haya pungizi ajali bali yana zidisha na pia yana haribi barbara ambapo tunashindwa ku repair zinapo haribika.suala la matuta linakera sana......kuna umuhimu wa ku review maamuzi ya kuweka matuta kwani naona hayana tija....
Mimi naomba aipige chini ATC bse kwa sasa haina ndege then aifumue TAZARA na kuhakikisha wanabeba mizigo laki 5 kwa mwaka na pia kulifuatilia kwa karibu TPA NA TRC
All the best Kekoro
Sioni kwani lazima tuwe na shirika la ndege la taifa?Mimi naomba aipige chini ATC bse kwa sasa haina ndege then aifumue TAZARA na kuhakikisha wanabeba mizigo laki 5 kwa mwaka na pia kulifuatilia kwa karibu TPA NA TRC
All the best Kekoro