Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Kweli kabisa mkuu!We need to be thankful to our parents.
That is all they have...Kuna wazazi wengine wachawi tu....
Teh teh teh!hizi ni dalili za rahana ya wazazi!Kuna wazazi wengine wachawi tu....
Sikubaliani na wewe mkuu,hichi hakikubaliki!wanaweza kukosa mali,hata upendo pia?That is all they have...
Mkuu hujui unalolizungumza....kama wewe wazazi wako waliku care na kukuonyesha njia you are luck one...kuna wengine tumezaliwa kwa kuwa mama zetu hawakuwa na jinsi...maana mimba zilishindikana kutoka na ndio ishaingia..Teh teh teh!hizi ni dalili za rahana ya wazazi!
Najua unamachungu sana mkuu,kikubwa ni kuwasamehe wazazi wako na kuanza nao maisha mapya!Mkuu hujui unalolizungumza....kama wewe wazazi wako waliku care na kukuonyesha njia you are luck one...kuna wengine tumezaliwa kwa kuwa mama zetu hawakuwa na jinsi...maana mimba zilishindikana kutoka na ndio ishaingia..
Ni kweli kabisa mkuu,lakini siku hizi dunia imebadilika sana,maana kuna malalamiko mengi sana ktoka kwa watoto,akiwemo ndugu yangu KikulachoChako!Waheshim Baba yako na Mama yako, Ili siku zako zipate kua nyingi na heri hapa Duniani. Amri pekee yenye ahadi.
Kutoka (Exodus) 20:12
Umenikumbusha mbali sana,wakati nilipokuwa mdogo nilikuwa nanuna pale wazazi wanaposhindwa kuninunulia nguo wakati wa sikukuu!usemi muafaka wakati huu wa xmass kwa wazazi ambai hawajaweza kununulia nguo watoto wao
Kuna wazazi wengine wachawi tu....
Mkuu hujui unalolizungumza....kama wewe wazazi wako waliku care na kukuonyesha njia you are luck one...kuna wengine tumezaliwa kwa kuwa mama zetu hawakuwa na jinsi...maana mimba zilishindikana kutoka na ndio ishaingia..
Sikubaliani na wewe mkuu,hichi hakikubaliki!wanaweza kukosa mali,hata upendo pia?