Ushauri kwa watoto usiwalaumu wazazi ikiwa kuna kitu hawajakupa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,721
2,000
1471259_557346091017364_1182849187_n.jpg
 
Mwanahisa

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
1,385
1,195
Waheshim Baba yako na Mama yako, Ili siku zako zipate kua nyingi na heri hapa Duniani. Amri pekee yenye ahadi.
Kutoka (Exodus) 20:12
 
TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,775
2,000
Mkuu hujui unalolizungumza....kama wewe wazazi wako waliku care na kukuonyesha njia you are luck one...kuna wengine tumezaliwa kwa kuwa mama zetu hawakuwa na jinsi...maana mimba zilishindikana kutoka na ndio ishaingia..
Najua unamachungu sana mkuu,kikubwa ni kuwasamehe wazazi wako na kuanza nao maisha mapya!
 
TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,775
2,000
Waheshim Baba yako na Mama yako, Ili siku zako zipate kua nyingi na heri hapa Duniani. Amri pekee yenye ahadi.
Kutoka (Exodus) 20:12
Ni kweli kabisa mkuu,lakini siku hizi dunia imebadilika sana,maana kuna malalamiko mengi sana ktoka kwa watoto,akiwemo ndugu yangu KikulachoChako!
 
Last edited by a moderator:

farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,576
2,000
Duh hilo pic ni amazing sana....

Yaani kuna vingi nimejifunza kutokana na wazazi..

Mzazi anaweza fanya anything just ahakikishe mtoto yuko happy..
 
farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,576
2,000
Mkuu hujui unalolizungumza....kama wewe wazazi wako waliku care na kukuonyesha njia you are luck one...kuna wengine tumezaliwa kwa kuwa mama zetu hawakuwa na jinsi...maana mimba zilishindikana kutoka na ndio ishaingia..

Pole sana...

Lakin usisahau wema wa mama kwa kukubeba miezi 9 tumboni na huna cha kumlipa..hadi ukafikia hatua hii leo ya kuwaita wachawi....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom