Brown ad
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 345
- 205
habari wapendwa!!
napenda kutoa ushauri kwa wale wanaojua uhusiano wao unahemea gas alafu unaenda kufumani na ukiwa unajua fika uwezi kuishi bila ya huyo mwenzi wako!!
hii imetokea kana wiki kuna rafiki yangu alimtuma mtu amfuatilie boyfriend wake na baada ya siku kadhaa akapigiwa simu kuwa bwana ake ameingiza mwanamke mwingine,
baada ya kwenda kule ns vurugu za hapa na pale yule bwana hajawai kuonesha kujutia kosa lake hata kidogo, sasa shost kabaki yeye ndo anahaingaka kumtafuta yule bwana.
basi ushauri naotoa kuwa ukimfatilia sana nzi utakula kinyesi kama unajua penzi lako la kulazimisha usimfatilie sana huyo mwenzi wako maana utaishia kupigwa kibuti ubaki unalialia