Ushauri kwa wanavyuo

Eliamini

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
582
687
Iko haja ya vijana wanaomaliza elimu ya juu kuwa na fikra chanya kuhusu maisha,mana idadi kubwa ya wanavyuo mawazo yao yamegota katika ajira ni wachache sana wanaotumia elimu yao kwa ajili ya maisha,wengi tunatumia vyeti vyetu kwa ajili nya maisha
 
Bado hatujafikia critcal pouint,kuna kipindi itafika wana vyuo watakuwa hawana njia nyingine isipo kuwa kuwawajasiriamali,

Ukisoma historia mbalimbali za jinsi wajasiriamali walivyo anza wengi walianza katika hali tete, ukichukulia mfano wakati wa vita kuu ya pili ya dunia kuna watu walitumia lile janga na kuja naidea ambayo hadi leo hii wao ni matajiri wakubwa sana.

Ukiangalia nchi kama India inagraduate wengi sana ambao wanaingia moja kwa moja kwenye ujasiriamali, na hiini kutikana na matatizo makubwa ya kazi yaliyoko India ukiweka maananiPopulation yao,

Tanzania kuna kipindi kitafikamagarduate watakuwa hawana njia nyingine isipo kuwa kuingia katikaUjasiriamali, make kadri muda unavyo enda kazi zinazidi kubana na graduatehawatakua na njia nyingine,

SO HAYA MAWAZO UNAYO SEMA YAMEGOTAKWENYE KUAJIRIWA YANA MWISHO WAKE, NA NI PALE KAZI ZITAKAPO KUWA TAITI SANA.HATA NIGERIA AMBAKO MTU ANAMASTER LAKINI ANACHOMA MAHINDI BARABARANI ILIANZA HIVI HIVI ZAMANI HAIKUWEPOMAKE KAZI ZILIKUWEPO, NA HATA KENYAHII YA NIGERIA IPO SANA, NA HUKU INAKUJA
 
Angalizo pia ni hatari sana kwa taifa kujiingiza ktk ajira binafsi kwa asilmia kubwa, manake lazma uwekwe uwiano kat ya private na public employment ili kuwa na uchumi imara!Vngnevo pia itakua tatizo kwan weng wataly kwny eneo flan!
 
Back
Top Bottom