Kuna mijanaume bwana ni janga la kitaifa.
They look so smart but their minds are so empty.
Hawanaga cha kuongelea.
Akishika topic ni hiyo hiyo.
Janga la kitaifa mpaka nimeshindwa janga la kitaifa linaitwaje in English.
Nisije sema wonder of the nation. lols. hahaaaa
Haaa sijawahi chat na wewe
nikiamini hauko interesting..now najiuliza if I was wrong.....Nakuja
jiandae na habari za gdp na uchumi wa dunia..ole wako ulete story za
wema na kajala
Nawasalimu wote, mambo zenu, shikamoo wakubwa ila siwanyimi chochote unaruhusiwa kuomba
Nirudi kwenye mada jamani kaka zangu na rafiki zangu wa kiume kwenye swala la kumtongoza mwanamke mnaboa jamani kila ukija unaongela mambo ya mapenzi tu oooh i love you, oooh sijui unaumbo nzuri hivi jamani haya maneno yanachosha kila siku kuongelea hayo hayo.
Okey basi mwanamke najaribu kubadilisha mada hata tuongelee utamaduni wetu huna hoja unajiumauama kiuchumi ndo kabisa nakupoteza hivi niwaulize huwa mnafikiria nini kwenye akili zenu?
All over the way unafikiria kuniambia i love you mimi huwa unanichosha jamani lets talk about other issues nichekeshe, tuongeleee uchumi, okey basi be funny mtu anaishia kukwambia i love na kubusu busu mikono hivi ni nini lakini BE CREATIVE GUYS LOH TOOO MUCH
Unakuta mwanaumme unamuuliza what is your plan for future anaongelea vitu vya ajabu a wengine amna majibu yani mimi nachefuka moyo nikiona mwanume ajielewi natamani kutapika.
Basi wanaume jiongeze basi ongea love yes, hapo hapo ongelea uchumi, siasa na hata utamaduni ili nijue una upeo gani wa kufikiri loh, mpira usiongelee wala movie.
Ihope mtajiongeza kwa kweli, nawapenda wote.
KWA HIZI TAKWIMU HATA USILALAMIKE miss chagga(NUMBERS DONT LIE)
Top Areas Of Posting
Mahusiano, mapenzi, urafiki -5,586
Love Connect -173
Ujasiriamali-10
Jukwaa La Biashara na Uchumi-7
NDG Mheshimiwa Spika Nachelea kuunga mkono hoja...
hahahaaa nimeipenda hiyo mkuu... umefunua uwongo wa kauli yake kwa takwimu
mweeeeeeee
moja ya sifa kuu kwa mwanaume wangu.. ni lazima awe na IQ kubwa zaidi yangu. hehe heeee...
una assume ukimuuliza kila kitu anajua lolz. Kama kilaza kiasikwamba mie ndo na run mjadala.. TUPA KULE eeeeeeeeeeeeee
kwi kwiiiiiiiiiii
best hakikisha na curve mnachora kabisa, coz uchumi hauendi bila hayo makitu.
Mbona unasound kama wewe unatongozwa kila siku.. mahusiano unaanzisha lini..!?Nitamchorea wala asijal nitakuwa natumia na projector
let me help u its a national if not nation disaster,ila kama ukiona mtongazaji hana cha kuongea kwa nini usismsaidie kuanzisha topic ? kwa nini umsubirie yy ttu aanzishe maana kutongoza sio jambo jepesi sana.Kuna mijanaume bwana ni janga la kitaifa.
They look so smart but their minds are so empty.
Hawanaga cha kuongelea.
Akishika topic ni hiyo hiyo.
Janga la kitaifa mpaka nimeshindwa janga la kitaifa linaitwaje in English.
Nisije sema wonder of the nation. lols. hahaaaa
Mi mwanaume "mtupu" hivyo simuwezi kabisa! Boya linaloea hapana... mtu mnaenda kwenye office function unatamani uingie chini ya meza kwa aibu. Next time huji nae unajidai kasafiri lol
wewe nawe unashindwa hata kujiongeza namaanisha `I LOVE YOU` with capital letterKazi ipo kiivi...kumbe kunitaman hakuna shida
Kweli wewe ni MISS CHAGGA
wewe umekutana na kishoka, ukikutana na mjanja siku 2 utaomba ndoa ww!
Baby ofisini/kazini/homu kwenu kuna mtu AMEUGUA DANGEUUUUUU?
Mbona unasound kama wewe unatongozwa kila siku.. mahusiano unaanzisha lini..!?
wewe nawe unashindwa hata kujiongeza namaanisha `I LOVE YOU` with capital letter
Kwa hiyo wewe unatongozwaga kila siku tu au..nlikuona upo njema upstairs kumbe dah..