Ushauri kwa wanaume


ha ha ha haha... mpenzi wala usitafute kingereza ,..... alafu unakuta ni wabishi hawakubali lkuelekezwa yani huwa natamani kupanda juu ya mtiiii kwa kweli
 
..lols, ndio umeamua kutuita " disaster" ya kitaifa eeh!!
 
nadhani wameelewa japo wameleta ubishi sana

Binafsi huwa naongea na wasichana/wanawake baada ya kazi nkichoka i just reflesh my mind siwezi kuwa serious but nabehave kulingana na kind of particular women
 
Kwa nini nivumilie upuuzi?

I simply take the bill, pay and am off.
naweza kunywa hata lita mbili za maji kwa namna navyo pata hasira kusikiliza huo ujinga wake aisee

ha ha ha haha... mpenzi wala usitafute kingereza ,..... alafu unakuta ni wabishi hawakubali lkuelekezwa yani huwa natamani kupanda juu ya mtiiii kwa kweli
 
hahahaaa. Mpaka disaster lilinitoka.
..lols, ndio umeamua kutuita " disaster" ya kitaifa eeh!!

Yeah like you and me are compatible. Unaweza kujikuta unawish the night never comes to an end.
..sasa kama mko incompatible unategemea mtaongea nini, compatibility test ya kwanza ni flow ya stories...kama mtu umetoka nae out for a date alafu hata cha kuongea nae huna...unategemea nini!!!
 
Baby ofisini/kazini/homu kwenu kuna mtu AMEUGUA DANGEUUUUUU?
 
ha ha ha haha ha haha ha ni kweli lakini ndo nataka kujua mkuuu ,,,, i love i hate this words jamani tooo much mnaboa........ alafu tyta huku jf haina maana ndo maisha yangu ndo unipende uje unitongoze kisa nakaa sana mmu probably that is not me....
Hahahaaaaaa.... mkuu naona wajuaji wa mambo wamekushika pabaya! Mie nasubiri hoja zako tu, kulipangua hili!
 
wewe umekutana na kishoka, ukikutana na mjanja siku 2 utaomba ndoa ww!
 


Kweli wewe ni MISS CHAGGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…