Ushauri kwa wanaume

hahahaaaa.. ninyi ndo mnapenda kusikia mnapendwa na maneno mazuri!! ndo mana tunawapeni ya kutosha

mwanzo wa wiki mpaka mwisho neno ilove u no nono nono hapana kwa kweli
 
its just a by the way...life is great.. so lovely..

yah ma life is great and so lovely because is great so what wrong? i plan ma thing doing well so i must be lovely am so lovely for sure
 
It goes both ways....
Tukio si kutongozwa tu bali kutongozana usiulaze mzigo wote kwa wanaume jiulize uwa unaanzisha mawasiliano na wanaume katika mazingira gani?

duuuuh ningekwambia lakini naona italeta gumzo acha tusiende beyond hapa ... okey i will work on it niangalie wapi pana tatizo
 
worry not MC..personally am very flexible.....
angalizo:tricky men wataanza maongezi na topic yoyote but eventually will unknowingly drag you into ''hotest topic of all time''

okey lakini Tyta rafiki yangu usiwe kama hao nao waona . plz
 
Kweli wewe mama mchaga pesa siasa nk sio mapenzi
Ila ki ukweli umetuchana haswa ili la kubusubusu mikono mimi nikiona mshikaji anafanya huwa nampunguza
 

Umeongea kitu cha maana saana .
Kama ungekua bunge spika angeaema Hoja yako ina mashiko.
Ila nataka nikueleweshe jambo moja.,iko hiviii ,

Mwanaume anapomwaproach mwanamke ,anavaa tabia husika ya mwanamke mwnyewe,mfano, ww Miss Chaga kakukuta unapenda siasa ,atakuja Akiongelea updates za Bunge na Mambo ya siasa.. Kama ww napenda habari za Macelebrities atakuja hivyo hivyo , yaani ni kama kinyonga ,atahakikisha anamartch na ww kwa namna unavyotaka ,ili tu akupate .
Mwanume hawezi ongelea jambo ambalo halikuvutii ,zaidi atakuboa.
Kuna wanawake hata ukiwauliza Raisi wa Tanzania ni nani ,anaweza kukuambia Ni Mkapa, mtu ka huyo ina maana siasa hazipendi,kuongea siasa na yeye ni kimchefua.

Hivyo basi ,jambo hili linaanza moja kwa moja na nyie wenyewe ,ni namna ipi mnajiweka mnapotongozwa. ??

" Miss Chaga" ww Atakayekutongoza ni lazima aje akiwa ana Msimamo wa Muundo wa Serikali unayoihitaji.
Na aweze kuutetea muundo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…