USHAURI KWA Wanaume

Wewe Boflo unafundisha utegemezi kwa wanawake. Siku hizi kila mtu anatakiwa kutafuta pesa zake, ule wakati wa wanawake kudandia vilivyokwisha tafutwa na wanaume umeshapita. Kila mtu na pesa yake, Kama ni upendo ni upendo tu hakuna kubabaishana kwa kumtegemea mwingine.
Pili, kama King'asti amenizimikia japo sina pesa kwani kuna ubaya gani kunihudumia? Acha mfumo dume, hata wanawake wana uhuru wa kutafuta wapenzi wao na hata pesa.
 
Aaaah acha kumind vitu vidogo bwana
Ww mtanga gani huchokozekegi?

nimeku-mind kweli,mimi sio mlamba lips,mimi ni mwanaume ninayepambana usiku na mchana!futa kauli yako!kumbuka hapa jf natumia jina halisi hivyo kashfa yeyote lazima iwekwe sawa!
 

kumbe kila kitu mnafanya kwaajili ya wanawake? Tungekuwa hatupendi pesa mngeacha kuzitafuta?
 
Kidume unakomaa kutafuta mkwanja umpe good time mamsapu then unakuta kuna mbwiga mmoja anapewa mzigo bure tu,tena na zile unazohonga 10% anapewa yeye.Hawa wanawake hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…