UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,046
- 9,341
Wewe Boflo unafundisha utegemezi kwa wanawake. Siku hizi kila mtu anatakiwa kutafuta pesa zake, ule wakati wa wanawake kudandia vilivyokwisha tafutwa na wanaume umeshapita. Kila mtu na pesa yake, Kama ni upendo ni upendo tu hakuna kubabaishana kwa kumtegemea mwingine.
Pili, kama King'asti amenizimikia japo sina pesa kwani kuna ubaya gani kunihudumia? Acha mfumo dume, hata wanawake wana uhuru wa kutafuta wapenzi wao na hata pesa.
Pili, kama King'asti amenizimikia japo sina pesa kwani kuna ubaya gani kunihudumia? Acha mfumo dume, hata wanawake wana uhuru wa kutafuta wapenzi wao na hata pesa.