Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,172
Kwa comment yako hiyo kila mwanaume Ni mjinga akiwemo baba akoUjinga tu
Noma
Kwa comment yako hiyo kila mwanaume Ni mjinga akiwemo baba akoUjinga tu
Hivi nyie huwa mnakutana na wanaume gani???
Habari ndugu zangu.
Kuna jambo nataka niwashauri wanaume kuhusu suala la kuoa wanawake zaidi ya mmoja.
Naona hata kama wewe ni mkiristo jitahidi uoe zaidi ya mmoja maana hapo ndo wake zako watakuheshimu.
Ila mambo ya kuoa mmoja ni kujitakia ugonjwa wa moyo maana atakuendesha sana. Wanaume hasa wakristo na sisi tuoe wanawake wengi ili kuwafanya hawa viumbe wawe na adabu.
Mimi ni mkiristo ila ntaoa watatu au wanne.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hutaowa kikristo sawa...Habari ndugu zangu.
Kuna jambo nataka niwashauri wanaume kuhusu suala la kuoa wanawake zaidi ya mmoja.
Naona hata kama wewe ni mkiristo jitahidi uoe zaidi ya mmoja maana hapo ndo wake zako watakuheshimu.
Ila mambo ya kuoa mmoja ni kujitakia ugonjwa wa moyo maana atakuendesha sana. Wanaume hasa wakristo na sisi tuoe wanawake wengi ili kuwafanya hawa viumbe wawe na adabu.
Mimi ni mkiristo ila ntaoa watatu au wanne.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda baba ako wewe unaona nimetaja mwanaume hapo ujinga ni huo alioungea usiwe unakurupuka kujibu kitu usichokijuaKwa comment yako hiyo kila mwanaume Ni mjinga akiwemo baba ako
Noma
Haha,I bet baba ako Ana mchepuko au aliwahi kuwa na mchepuko,kama baba ako Hana mchepuko Basi Ni shoga huyoLabda baba ako wewe unaona nimetaja mwanaume hapo ujinga ni huo alioungea usiwe unakurupuka kujibu kitu usichokijua
nguvu zipo,,usipime kina cha maji kwa mguu
😂😂😂😂Haha,I bet baba ako Ana mchepuko au aliwahi kuwa na mchepuko,kama baba ako Hana mchepuko Basi Ni shoga huyo
Noma