Ushauri kwa wanaotafuta wanawake humu Jf

Ushauri kwa wanaotafuta wanawake humu Jf

Hyo inaitwa blackgame huo n mchezo unachezwa kat ya pande mbil na hapo ukizubaa unaliwa kekunde
 
aisee jamaa kaingizwa mkenge hakuna cha mume hapo wala nini?
 
wageuzie kibao, wambie wakizisambaza hizo picha unawastaki na pia unaweza kutoa ripoti polisi kuhusu hiyo issue nzima
 
Baada ya kuweka tangazo hapa kuwa natafuta mke wa kuoa nilipata PM nyingi,nilianza kuwatafuta mmoja baada ya mwingine,mmojawapo tuliahidiana kuonana Ubungo,tukaonana pale tulikaa sehemu iliyotulia kwa mazungumzo,kiukweli mrembo ni mzuri,ni mweupe na shape ya Kibantu(hips za ukweli na maziwa ameyaweka vizuri)akaniambia anaishi Mlandizi,tukawa tunawasiliana kama mwezi hivi,siku1 nilimpigia simu akaniambia njoo Mlandizi na Ubachela wangu nikaenda kulala kwake,asubuhi akaniambia aliolewa na kuachika na ana mtoto1,mara simu zikipigwa anatoka nje kuongea,mchana nikarudi kwangu,kazini sikwenda kabisa,Hapa Jf shida japo nilifaidi,,wengine kama sita hivi kutoka hapa Jf wana watoto,sura kama wanapuliza moto,wameachika na wanasaka wachumba humu,,kwaheri

Haaaa sa si alishaachika mngeendeleza libeneke
 
asante sana kwa ushauri ila picha ni za kawaida tuu wala siyo za utup


Sasa kama picha picha ni za kawaida, mbona unachachawa boss? Unless haziko kimaadili, sioni sababu kuangaika na hao watu. Tuko kwenye ulimwengu wa dijitali saivi, mitandao ya kijamii ina picha kibao za watu, yeyote anaweza kumiliki na kutumia picha zako kivyovyote vile. Nina uhakika jamii inaelewa yote hayo.
 
Na ndio maana JF na baadhi ya social media ukiona unapata demu
basi jua sehemu kubwa ni mademu wa mizinga na starehe kwa kwenda mbele
walio wengi ni "anti-future".
 
Habari wana Jf,

Niliweka habari humu ndani kipindi cha nyuma nikiwa natafuta mke mwema na asiye na degree na nikaleta mlejesho kuwa nimeshampata, nimekaa na huyu mdada tukiwa tunachati hadi saa saba usiku na nikajitahidi tukaonana naye.

Siku moja akanipeleka kwake kumbe yule dada ni mke wa mtu na alikonipeleka alishapanga chumba kimoja mbali na kwake na sijui alipanga ni cha nini wakati ameolewa sasa yaliyonikuta mimi sipendi mwingine yamkute humu ndani.

1. Yule dada anatumia kile chumba alichopanga kama guest.

2. Mume wake akiondoka ndiko anakolala na midume mingine hata mimi nililala huko.

3. Mume wake ananitafuta baada ya kukuta picha zangu kwenye simu yake japo nimemuelekesa amedai nimpe million tatu ndiyo anisamehe.

4. Mume wake amesema nisipo mpa hiyo hela picha zangu ataziweka kwenye mitandao akinichafuwa yani hapa nawaza maana watu wanaonifahamu ni wengi japo hata mimi ninapicha nyingi tu huyo mdada.

Toka juzi huyo mdada nikimpigia simu anapokea mume wake nimejaribu hata saa nane usiku bado anapokea simu na kunitishia kuwa bado naendelea.

Sasa naombeni ushauri nimwambie huyo dada kwa kutumia E-Mail kuwa atoroke aje huku ninakokaa na mtoto wake au nimlipe tu hela huyo mume wake au niwapotezee japo mdada anajuwa ofisi ninayofanya kazi.

NAOMBENI USHAURI NIFANYEJE MIMI JAMANI

mwambie huyo jamaa huo ni mchezo wake yeye na mke wake kujipatia kipato. Na kamba nawe utaweka wazi uchafu anaoufanya yeye na mke wake.....kwanza mtu akikufamania na mkewe hawezi kukudai 3mil tu.
 
Haaa haaa mwenyewe ulikuwa unajisifiaga nimepata mke, mi huwa nasema milionx2 social media ni kwa ajili ya kujiburudisha, kupunguza stress tu!..hivi guts za kutafuta mwenza humu mtu unaanzaje...BTW pole sana.
 
Karibu mjini kila mtu ana mbinu zake za kupiga hela shituka usingizini.
 
Back
Top Bottom