Ushauri kwa wanaotafuta wanawake humu Jf

Ushauri kwa wanaotafuta wanawake humu Jf

Mkuu mleta mada ulikosea sana kutafuta mke humu:

1. Wake wapo ila hawapatikani kirahisi hivyo
2. Huo ni uhuni kujuana na mwanamke juu juu halafu anakupeleka kwake unakubali kichwa kichwa
3. Upandacho ndicho uvunacho ulipanda hayo kwake ndio unayovuna sasa
4. Mrudie Mungu wako yeye ndio anajua hatma yako.
Ijumaa njema kwako.

Kumbuka ibilisi anasubiri uteleze kidogo tu AKUMEZEE!!
 
Hii sio chai kweli?
yaani ujue unatapeliwa na bado umo tu?
 
Pole sana mkuu.ila usitoe hta senti.hao ni matapeli.kweli hii mitandao watu wengine wanaitumia vbaya.tuwe makini jamani ingawa social media zina mizigo ya nguvu.na mm nishapiga mizigo kadhaa na ntaendelea ikanyaga
 
Mkuu mleta mada ulikosea sana kutafuta mke humu:

1. Wake wapo ila hawapatikani kirahisi hivyo
2. Huo ni uhuni kujuana na mwanamke juu juu halafu anakupeleka kwake unakubali kichwa kichwa
3. Upandacho ndicho uvunacho ulipanda hayo kwake ndio unayovuna sasa
4. Mrudie Mungu wako yeye ndio anajua hatma yako.
Ijumaa njema kwako.

Kumbuka ibilisi anasubiri uteleze kidogo tu AKUMEZEE!!
asante kwa ushauri
 
Wanatuchafua hawa wenye tabia kama hizi,wote tutaonekana tuko hivi kumbe sio kweli,ila pole
 
Kweli aseeeeeee

sasa wewe unashauri nini kwa mahusiano ya kimapenzi ya watu kukutana JF? Manake na wewe ni mhanga
vcheza karata yako vizuri ... ingia kimachale ukiona hapa eleweki sepa fasta bila kujali umefanya nini au umefanywa nini
 
huyo ni jambazi nenda polisi kabisa utoe taarifa.
 
Hizi pm zina mambo mengi na tatizo wengi hawajitanabaishi kwa uhalisia wao jamani tuwe wa kweli
ukweli hutuweka huru. ila sijapenda scenario ya mchangiaji mmoja kusema kwamba amefaidi kama
kina dada 6 wa humu wenye watoto. Jamani hivi mtu akiwa na mtoto na akaachana na baba wa mtoto
hafai kuwa katika mahusiano wanaume wengi tumekuwa na roho ya ubaguzi sana tena ya ibilisi kabisa
though sio wote ila wengi wao tupo hivo hivi inatuwia nini ugumu kulea mtoto wa baba mwengine? ni
binadamu kama wengine anahitaji kila ambalo binadamu anahitaji ili aishii. unawezaje kumpenda mwanamke
lakini pindi anapokwambia ana mtoto unachukia na mapenzi kuisha this is a shame na huo si upendo hata
kidogo. kwanini wanawake wengi hukubali watoto wa mama wengine japo nao majority huwatesa hata kama
ni kwa unafifki lakini wanakubali kupokea watoto men we should change this attitude ni mbaya na haifai hata
kwa MUNGU na tukumbuke kwenye hawa single mums wapo waliofiwa na wanaume, na wapo ambao waliacha
mahusiano yao chanzo kiwa sisi wanaume lets comfort them lets give them confidence and lets value their dignity
 
Back
Top Bottom