Ushauri kwa wanandoa

Ndoa sio jeanamu bali ni sehemu ya kufurahia maisha ya wapenzi mambo yakipigana ya kwenu
 
Wee mi na mi nguvu balaa hafu mi siwezi kuwa na mwanaume asijielewa nikishamsoma saikolojia yake na mambo yake ka haeleweki namkimbia, sasa had huko kudundana hakunikuti hata kwa dawa
Kumbe bado hujaolewa ndio maana unasema hivyo wenzako walioko kwenye ndoa wanalilia kupigwa.
 
Usishangae hao wataalamu wao ndio hupigwa na wake zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…