Ushauri kwa wanandoa

Sina la kusema maana Upendo na ndoa vina siri kubwa. Mbarikiwe wadau.
 
Alafu inaonekana kipigo huwa kinasaidia kweli kweli.
 
Umesahau kuongeza neno tuwapige bara'bara..
 
Haya mambo ni nani huwa anawadanganya?Kutoa kipigo ni tabia ya mtu na gubu lake.Akikushinda ni vema muachane.Kama ni kipigo kingine huku mnatabasamu ni sawa.
 
Akikuzingua mtafutie demu mkali kuliko yy..lazima atulize mshono... kupiga it's an old school smart people don't do that!
Kuna namna nyingi za upigaji. Ila kuwa na mahusiano mengi ni kujiumiza wew na roho yako. Vifungo vya roho hivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…