Aiseee me chakula cha wajasi huku humanities kilinishinda mapema.....
Kwanza mbali kweli kutoka blocks yani ukila huko mpaka urud block chakula kimeisha....
Then hali ya usafi wa huko
Na pia hakuna tofaut sana na cafeteria so nikaona bora niwe member wa cafeteria
Ushauri naitaj..nmepata nafas ya kujiunga na open university kusomea masters of science in economics by executive module..ila baadhi wanaponda elim ya OUT.so kwa mwenye uelewa wa kiusomi..naomba anipe ushaur.
Uzi huu mi nimeupenda sana kwani licha ya kusaidia UDOM umesaidia hata waendao vyuo vingine angalau kwa picha, kwani wengi walikua wanaogopa sasa uoga unakwisha. kama mimi kwenye suala la vipindi nilizani toka monie to jion .kumbe inategemea na unachosoma kuna siku waweza kutokua na kipindi. dah ama kwel bidii yako tu.

mi nimechaguliwa udom education with ICT naomba ushauri wenu ni mambo gani ya kuwanayo pia vip habari ya registration Lakini ukiweza waweza nipa ushauri wakunisaidia ahsante. email ni evangelistemygidiusgeorge@gmail.com kwa personal advice.