kuhusu issue ya kukaa "off-campus".
Hili suala lipo na linawezekana japo mchakato wake ni mkubwa kwa mwaka wa kwanza.
SABABU: Wanadai kuwa ili ukae off-campus ni lazima.
1.uandike barua rasmi kwa DEAN OF STUDENTS kwenye college yako husika ikipitia kwa BLOCK WADEN husika ktk block unaloishi.
2. barua hii huandikwa MWISHONI MWA SEMESTER YA MWISHO ya mwaka wako wa masomo i.e 1,2,3,e.t.c.
3. barua hii huambatana na SABABU zenye mashiko za kwa nini uruhusiwe kuishi nje ya chuo. Mfano KAMA ZILE ZILIZOELEZWA KWENYE STUDENTS BY-LAWS i.e mimba, mtoto mchanga, hali ngumu ya maisha(ushaidi uwepo),kuuguza, matatizo makubwa ya afya e.t.c.
N.B: HURUHUSIWI KUKAA KWA SEMESTER OFF-CAMPUS.
>HAUTOLIPA GHARAMA ZOZOTE ZA DIRECT COST mbal na hela ya bima ya afya na UDOSO.