Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM


post yenyewe ya zamani sana afu kama ni nauri ishaongezeka
 
funguka mkuu kama tatizo ni maji waje na vidumu vya maji au coz vyoo nasikia vya kuflash na maji hakuna
Sio siri wadogo zangu maji udom ni ya shida kuanzia ya kunywa hadi ya kupeleka toilet,Vidumu n muhimu kuwa navyo kwa ajili ya kutunzia maji dogo kama unaweza kubeba kutoka nyumbani ni wew tu.ila maduka yapo mengi unaweza kununua huko huko chuoni.
 




asante kwa ushauri mkuu....ila mi sjaelewa hapo kwenye nauli...hiyo ni ya kutoka mjini kwenda chuo? je kama umekuja na bas kutoka mwanza ukishuka stand nauli ni sh ngap kufika chuo?
 
asante kwa ushauri mkuu....ila mi sjaelewa hapo kwenye nauli...hiyo ni ya kutoka mjini kwenda chuo? je kama umekuja na bas kutoka mwanza ukishuka stand nauli ni sh ngap kufika chuo?
Ni sh 400/= tu ila wale makondakita wanaweza kukuchaji hela ya mzigo, so wekeni ya akiba usije na 400 tu mambo yanawza kubadlika mda wowote. Yale magar sio ya serikali ni ya watu binafsi,na wew unayetoka mwanza panda Gari litakalokufksha dodoma mapema ukifka usiku utaangaika sana na nauli itapanda Mara tatu ya hyo au utakosa usafr kabsa wa kukufksha chuo .
 
Imetosha kwa Leo ,ndoa yangu itaharbka niko busy na simu sana hadi mke wangu ananistukia
 
hapo kwenye kuingilia kwa dirishan tupo pamoja hapo kwenye suruali za vitambaa sasa ndio shughuli inapoanzia......msos nao kitaeleweka tu ol in ol thnx bra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…