Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Umetisha kama msomi mwenye faida kwa jamii,, kazi ya elimu uliyoipata inaonekana,, Asante ndugu yangu maana umeosha macho yaliyokuwa na matongotongo na hata yameona Vizuri,, hongera kwa kuwa mtanzania mzalendo ,mpenda maendeleo na umeelimika kwa kuwa unajua unachokifanya kila wakati..
 

mkuu kwel lisemwalo lipo!this time wametupa kichanga ktk dustbin.
 
Sasa ndio umeongea nini?eti great thinker

Actually, sio UDOM pekee wenye system hio, hata Zanzibar University wameshaanzisha system iyo, wanafunz wanapangiwa namna ya kuvaa na huruhusiki kuingia class km hujavaa mavazi wanayotaka wao, so I think maji ukishayavulia nguo inabidi uyaoge tu.
 
Hivi Dodoma kuna chuo kikuu? Kile chuo cha kujiuza kiko mkoa gani
 





ahsante kiongoz tunazid kufanya vizur ndani ya home of great thinkers na logo ya emblacing knowledge
 
am on way to UDOM.XO nko fit maana nimewaxoma hongera xana BE RESPONSIBIE
 
Yes! It is a white university but does it produce white students and practitioner? No! It is just painted white but the quality of education is not yet white, it is still some how grey. So it is not competitive. Plz make the quality of education white then you proud for that.
 

yan hapo unanfanya nzd kuipenda UDOM.I ril apprecite da place
 
Hivi Dodoma kuna chuo kikuu? Kile chuo cha kujiuza kiko mkoa gani

Jadili mambo ya muhimu mtoa maada katoa maada nzur na yenye faida kwa watu we unaleta mzaha km huna maslahi na hii taarifa c lazima uchangie tena kwa dhihaka.
 
Ndugu zangu udom m2 mwenye principal za 'd' na 'e" masomo ya art anaweza pata nafas?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…