Ushauri kwa Viongozi na wanachama wote wa CHADEMA

robbins emmy

Member
Joined
Aug 17, 2011
Posts
46
Reaction score
9
Heshima Mbele,
Kwa kufuatia utitiri wa post nyingi kwenye mitandao tofauti ya kijamii kuhusiana na majibizano kati ya viongozi wa chama na/au kati ya wanachama kwa viongozi, hali hii inatudhoofisha sana na kuanza kuwaza ni hali gani inataka kujitokeza ktk kipindi hiki muhimu tunapokaribia USHINDI na nchi ya ahadi.
Niseme tu kwamba wanachama wengi na baadhi ya viongozi tunajikuta tunacheza NGOMA ambayo hatuijui.
Hatujui nani anaibua shutuma na kwa malengo gani lakin sisi wanachama tunajikuta tunajibu kwa maneno makali,matusi na kuhukumu viongozi wetu.
Nawashauri wanachama wenzangu msiingie kwenye mtego huu ambao ninaamini unatoka CCM au kwa watu wasioitakia mema CHADEMA. Kuweni makini na maneno yenu na kila mnachopost humu msije mkaingia mkenge wa kuanzisha migogoro ndani ya chama.
Ni busara sana kutokupost chochote huku chenye lengo la kushabikia ugomvi either kushutumu kiongozi yeyote au mwanachama yeyote unaedhani kaenda opposit na target ya chama. Ni jambo la kheri kutuma email makao makao makuu na kueleza maoni yako kuendelea na misuguano ni kuwapa magamba credit. Tuwaache magamba waropoke wenyewe.
Ahsanteni MAKAMANDA
 
Umeongea point sana...Ila sitowacha magamba wajambe mbele yangu....Nitawanyoosha..
 
hakuna ugomvi humu mjomba , kilichotokea ni kajioperesheni kadogo kanakoitwa ondoa masalia , halafu ni hivi bila kuandika cdm ni kama hakuna jukwaa la siasa !
 
Posti yako inanguvu kuliko hotuba za Mkuu wa KAYA. Heshima kwako my Brother.
 
Nawashauri wanachama wote na wafuasi wa chadema wajitoe mitandaoni. Kwa kufanya hivyo wataua kabisa mijadala yote isiyo na tija kwa chama
 
Chadema ni chama cha kilaghai na huu ulioandikwa n ulaghai wa hali ya juu
 
Heshima Mbele,
Kwa kufuatia utitiri wa post nyingi kwenye mitandao tofauti ya kijamii kuhusiana na majibizano kati ya viongozi wa chama na/au kati ya wanachama kwa viongozi, hali hii inatudhoofisha sana na kuanza kuwaza ni hali gani inataka kujitokeza ktk kipindi hiki muhimu tunapokaribia USHINDI na nchi ya ahadi.
Niseme tu kwamba wanachama wengi na baadhi ya viongozi tunajikuta tunacheza NGOMA ambayo hatuijui.
Hatujui nani anaibua shutuma na kwa malengo gani lakin sisi wanachama tunajikuta tunajibu kwa maneno makali,matusi na kuhukumu viongozi wetu.
Nawashauri wanachama wenzangu msiingie kwenye mtego huu ambao ninaamini unatoka CCM au kwa watu wasioitakia mema CHADEMA. Kuweni makini na maneno yenu na kila mnachopost humu msije mkaingia mkenge wa kuanzisha migogoro ndani ya chama.
Ni busara sana kutokupost chochote huku chenye lengo la kushabikia ugomvi either kushutumu kiongozi yeyote au mwanachama yeyote unaedhani kaenda opposit na target ya chama. Ni jambo la kheri kutuma email makao makao makuu na kueleza maoni yako kuendelea na misuguano ni kuwapa magamba credit. Tuwaache magamba waropoke wenyewe.
Ahsanteni MAKAMANDA

Upo sahihi Kamanda
 
Asante mkuu,wewe ni mwanachama halisi wa chadema na nimeuona uchungu wako.Mimi nakuwa wa kwanza kuunga mkono hoja yako ingawa bado sijawa mwanachama wa chadema ila mimi ni mwanachama wa mabadiliko ambayo yamebebwa mgongoni mwa chadema.Hebu wanachama wote wa Chadema ungeni mkono mapendekezo ya huyu mtu aitwaye robbins emmy.Ni mawazo yenye afya kwa chama chenu.
 
hakuna ugomvi humu mjomba , kilichotokea ni kajioperesheni kadogo kanakoitwa ondoa masalia , halafu ni hivi bila kuandika cdm ni kama hakuna jukwaa
la siasa !

Kuandika CDM kwa malengo ya kueneza ugomvi that's not a politics any way na naamini hilo sio lengo la jukwaa la siasa kwa Great Thinkers na sio kwa waropokaji
 
Back
Top Bottom