Ushauri kwa Viongozi na wanachama wote wa CHADEMA

Kuandika CDM kwa malengo ya kueneza ugomvi that's not a politics any way na naamini hilo sio lengo la jukwaa la siasa kwa Great Thinkers na sio kwa waropokaji
Akina Yeriko Nyerere ambao ni CDM ndio wanaoanzisha siasa za minyukano humu JF kwa manufaa ya mafiga yao
 
Mkuu, sasa ni Buku 15

Haswa...!!!

Angalieni hapa....!!!

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!
 
sisi kama wapenzi, wakereketwa, wafurukutwa, na wanazi wa cdm inakuwa ngumu kukaa kimya aisee! yaani tuwaachie LB7 watambe!!!? na tukubali wamchafue Dr. Slaa wetu na Mhe. Mbowe wetu huku wakifagilia mapandikizi yao halafu tukae kimya eti ndo busara!! BIG NO BROTHER!! ingekuwa mtu anaetuhumiwa kuwa pandikizi ni msafi na ameshathibitisha tuhuma dhidi yake ni uongo beyond reasonable doubt hapo sawa! Hizi ni propaganda za ccm kweli... lakini ni kampeni za kwenye mitandao ambazo ndizo zina-make news kwenye magazeti the next day! na kwenye media nyingine. tutapunguza kumshambulia jamaa yetu kama nao watapunguza kuwashambulia wapendwa wetu!
 
Haswa...!!!

Angalieni hapa....!!!

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!![/QUOTE

hii habari haikuandikwa na Le Mutuz
 
Hili siyo kosa lako kwa sababu hujitambui na kama ungekuwa unajitambua, basi ungefahamu hata hiki ulichokiandika.
Heshima Mbele,
Kwa kufuatia utitiri wa post nyingi kwenye mitandao tofauti ya kijamii kuhusiana na majibizano kati ya viongozi wa chama na/au kati ya wanachama kwa viongozi, hali hii inatudhoofisha sana na kuanza kuwaza ni hali gani inataka kujitokeza ktk kipindi hiki muhimu tunapokaribia USHINDI na nchi ya ahadi.
Niseme tu kwamba wanachama wengi na baadhi ya viongozi tunajikuta tunacheza NGOMA ambayo hatuijui.
Hatujui nani anaibua shutuma na kwa malengo gani lakin sisi wanachama tunajikuta tunajibu kwa maneno makali,matusi na kuhukumu viongozi wetu.

Ni ujinga kujibu shutuma ambazo huzijui hata zinatoka wapi. Hii haina tofauti na mtu anayerusha ngumi gizani akitegemea labda inaweza kumpata yeyote kwa vile hafahamu hata aliyempiga ngumi.

Mkiambiwa kuwa CHADEMA hamjajipanga na walaghai, mnaanza kupiga kelele na kujificha kwenye visababu vya kilaghai.

Nawashauri wanachama wenzangu msiingie kwenye mtego huu ambao ninaamini unatoka CCM au kwa watu wasioitakia mema CHADEMA. Kuweni makini na maneno yenu na kila mnachopost humu msije mkaingia mkenge wa kuanzisha migogoro ndani ya chama.
Ni busara sana kutokupost chochote huku chenye lengo la kushabikia ugomvi either kushutumu kiongozi yeyote au mwanachama yeyote unaedhani kaenda opposit na target ya chama. Ni jambo la kheri kutuma email makao makao makuu na kueleza maoni yako kuendelea na misuguano ni kuwapa magamba credit. Tuwaache magamba waropoke wenyewe.
Ahsanteni MAKAMANDA
Niliposema hujui hata unachokiandika nilikuwa na maana hii.

Wewe umesema hapo juu kuwa hufahamu anayeibua shutuma ndani ya CHADEMA halafu kwa kengeza la fikra unasema tena unawafahamu wanaoibua shutuma ni CCM. Which is which?.

This is flip-flop thinking.

Hata watakao fuata ushauri wako lazima watakuwa na flip-flop thinking zaidi yako kwa sababu CHADEMA imejaa zombie.
 
sisi kama wapenzi, wakereketwa, wafurukutwa, na wanazi wa cdm inakuwa ngumu kukaa kimya aisee! yaani tuwaachie LB7 watambe!!!? na tukubali wamchafue Dr. Slaa wetu na Mhe. Mbowe wetu huku wakifagilia mapandikizi yao halafu tukae kimya eti ndo busara!! BIG NO BROTHER!! ingekuwa mtu anaetuhumiwa kuwa pandikizi ni msafi na ameshathibitisha tuhuma dhidi yake ni uongo beyond reasonable doubt hapo sawa!
Unaelewa hiki ulichokiandika au ndiyo yaleyale ya kuishi kama ki-zombie zombie.

Pandikizi huwa linang'olewa kwa sababu tools za kazi hiyo zipo!.

Viongozi wa chama wanarumbana na mapandikizi wanayoyafahamu ambayo yako ndani ya chama kwenye mitandao?.

Nani unamlaghai hapa?. Kwani CHADEMA hawana nyenzo za kuling'oa hilo pandikizi au wao ndiyo mapandikizi.

CHADEMA ni chama cha kilaghai.
 
CCM na TISS walifanikiwa sana kuviuwa na kuvisambaratisha vyama vya NCCR-MAGEUZI na TLP kwa mbinu kama hizi. Kwa CUF walitumia udini. Udini, ukabila, ugaidi ni mbinu zilizoshindwa kuibomoa CHADEMA hivyo mbinu hii ya uchonganishi inaonekana kama ndiyo silaha pekee iliyobaki. kwa mafisadi kuitumia.

CHADEMA ina viongozi wengi wapambanaji hata hivyo, CCM na TISS yake wamechagua figure muhimu kufanikisha lengo lao. Nikiwa mmoja wa majasusi wa kujitegemea nimewajua wana TISS ambao kila zengwe linalorushwa kwa CHADEMA hujiengaenga ndani ya CHADEMA kusoma upepo na kuripoti kwa mabwana zao (mafisadi-CCM).

Mh. Mbowe katika uongozi wake, akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amefanikiwa kukijenga CHADEMA mioyoni mwa watanzania kwa muda mfupi sana. Huyu ni mtu hatari sana kwa CCM. Ndani ya CCM, ukimwondoa J.k.Nyerere hakuna mwenyekiti aliyeweza kukiimarisha chama chake. Wenyeviti wote waliokuja baada ya mwalimu wameshuhudia chama chao kikinyong'onyea kwa unyafuzi na kwashakor kisiasa kila uchao.

Katibu Mkuu wa CDM Dr. Slaa na Kaimu wake Mh. Zitto wao wamekuwa watendaji makini wa chama. Wamekuwa wakichagua kete muhimu ambazo zinaugusa umma wa watanzania kuisambaratisha CCM-Mafisadi; na wakati huo huo wakijinabihisha kuwa ndani ya CDM kunawamapinduzi wa kweli. Mh.Zitto kawang'ang'ania mafisadi na akaunti zao za nje ya nchi. Anawakosesha usingizi.

Mh. Mnyika amekuwa mwiba kwa mafisadi-CCM kupitia hoja zake za kuibua uozo wa miradi ya maji jijini Dar na nchini kote kwa jumla. Kete aliyoishikilia Mh. Mnyika ina msumbua hata mwenyekiti wa CCM, JK.

Kwa hiyo, watu hawa na wengine ndani ya CDM wataandamwa na kila aina ya uzushi ili kuwanyamazisha na hata kupitia kwao kwamba yamkini wakainyong'onyesha CHADEMA. Wazo langu, ili wana CHADEMA na watanzania wapenda mabadiliko kwa jumla inatupasa kunyamaza kimya kwa kila tuhuma lukuki za kupikwa dhidi ya viongozi wetu na kwa chama chetu ambacho kimeonekana kuwa ndio mkombozi wa watanzania.

Kuna msemo kwamba ukisambaratisha ofisi kuu basi unakuwa umemaliza kazi. Hii, ndiyo mbinu wanayoitumia mafisadi hawa wala na wanywa damu za watanzania.

KUNYAMAZA NI BUSARA, tena ni hekima.

  • Thanks
Reactions: prs
Haswa...!!!

Angalieni hapa....!!!

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!![/QUOTE

hii habari haikuandikwa na Le Mutuz

Iliandikwa na mama yako...?
 
Hili siyo kosa lako kwa sababu hujitambui na kama ungekuwa unajitambua, basi ungefahamu hata hiki ulichokiandika.

Ni ujinga kujibu shutuma ambazo huzijui hata zinatoka wapi. Hii haina tofauti na mtu anayerusha ngumi gizani akitegemea labda inaweza kumpata yeyote kwa vile hafahamu hata aliyempiga ngumi.

Mkiambiwa kuwa CHADEMA hamjajipanga na walaghai, mnaanza kupiga kelele na kujificha kwenye visababu vya kilaghai.

Niliposema hujui hata unachokiandika nilikuwa na maana hii.

Wewe umesema hapo juu kuwa hufahamu anayeibua shutuma ndani ya CHADEMA halafu kwa kengeza la fikra unasema tena unawafahamu wanaoibua shutuma ni CCM. Which is which?.

This is flip-flop thinking.

Hata watakao fuata ushauri wako lazima watakuwa na flip-flop thinking zaidi yako kwa sababu CHADEMA imejaa zombie.

Ni nini hiki ulichoandika ...Umelogwaaa.....!!!!
 
CCM na TISS walifanikiwa sana kuviuwa na kuvisambaratisha vyama vya NCCR-MAGEUZI na TLP kwa mbinu kama hizi. Kwa CUF walitumia udini. Udini, ukabila, ugaidi ni mbinu zilizoshindwa kuibomoa CHADEMA hivyo mbinu hii ya uchonganishi inaonekana kama ndiyo silaha pekee iliyobaki. kwa mafisadi kuitumia.

CHADEMA ina viongozi wengi wapambanaji hata hivyo, CCM na TISS yake wamechagua figure muhimu kufanikisha lengo lao. Nikiwa mmoja wa majasusi wa kujitegemea nimewajua wana TISS ambao kila zengwe linalorushwa kwa CHADEMA hujiengaenga ndani ya CHADEMA kusoma upepo na kuripoti kwa mabwana zao (mafisadi-CCM).

Mh. Mbowe katika uongozi wake, akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amefanikiwa kukijenga CHADEMA mioyoni mwa watanzania kwa muda mfupi sana. Huyu ni mtu hatari sana kwa CCM. Ndani ya CCM, ukimwondoa J.k.Nyerere hakuna mwenyekiti aliyeweza kukiimarisha chama chake. Wenyeviti wote waliokuja baada ya mwalimu wameshuhudia chama chao kikinyong'onyea kwa unyafuzi na kwashakor kisiasa kila uchao.

Katibu Mkuu wa CDM Dr. Slaa na Kaimu wake Mh. Zitto wao wamekuwa watendaji makini wa chama. Wamekuwa wakichagua kete muhimu ambazo zinaugusa umma wa watanzania kuisambaratisha CCM-Mafisadi; na wakati huo huo wakijinabihisha kuwa ndani ya CDM kunawamapinduzi wa kweli. Mh.Zitto kawang'ang'ania mafisadi na akaunti zao za nje ya nchi. Anawakosesha usingizi.

Mh. Mnyika amekuwa mwiba kwa mafisadi-CCM kupitia hoja zake za kuibua uozo wa miradi ya maji jijini Dar na nchini kote kwa jumla. Kete aliyoishikilia Mh. Mnyika ina msumbua hata mwenyekiti wa CCM, JK.

Kwa hiyo, watu hawa na wengine ndani ya CDM wataandamwa na kila aina ya uzushi ili kuwanyamazisha na hata kupitia kwao kwamba yamkini wakainyong'onyesha CHADEMA. Wazo langu, ili wana CHADEMA na watanzania wapenda mabadiliko kwa jumla inatupasa kunyamaza kimya kwa kila tuhuma lukuki za kupikwa dhidi ya viongozi wetu na kwa chama chetu ambacho kimeonekana kuwa ndio mkombozi wa watanzania.

Kuna msemo kwamba ukisambaratisha ofisi kuu basi unakuwa umemaliza kazi. Hii, ndiyo mbinu wanayoitumia mafisadi hawa wala na wanywa damu za watanzania.

KUNYAMAZA NI BUSARA, tena ni hekima.

Ahsante umemaliza kazi, mwenyenzi mungu akuongezee busara. Ila pole sana kwa kuondokewa na Dr mvungi
 
Iliandikwa na mama yako...?

Mbona umehamaki...???
Vipi 'siri' mliyodhani ni siri imefichuka...??
haya, kama kawaida, mkijikuta hamna hoja, mnatimua mbio kwenda kwenye matusi...

Hii sio ajabu sana kwa CCM kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa ya 'wakuu' wa matusi...

2Q==
Lusinde (Kibajaji)...

Z
Serukamba ('Mzee' wa matusi bungeni...!!!!)
 
Back
Top Bottom