stronger001
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 590
- 2,619
iyo ya kutega pesa ipoje tajiriHamna kitu umeandika hapo.
Jifunze kutega pesa, kibunda ๐
kujibu ahsante upo vizuri lkn kuoga aaaah!..๐Asante sana
Kwamba sisi wenye tattoo tusizeeke?Imagine bibi au babu ana tatoo๐๐๐
sawa mkuu sikupingi kwakua ni chaguo lako goodujana bila changamoto hata haunogi sasa mtu unakuwa lipooole yani hata kupigana hupigani,kula vizazi huli,mtu hata kuchora tatoo huchori tukuone nawewe ni mafia!,we kuvaa masalawili tu kama akina mwaipopo!. nyumbani unarudi saa kumi na mbili jioni,bangi huvuti,pombe hata ukere watu utusuane nao vizazi hapana!. mwisho wasiku mtu badala alete nyamnyam anakuwa yeye ndo nyamnyam!
vua hilo salawili tukanywe bia acha upole uliokithiri...๐sawa mkuu sikupingi kwakua ni chaguo lako good
Muuawe.Kwamba sisi wenye tattoo tusizeeke?