Ushauri kwa vijana wa kiume

Ushauri kwa vijana wa kiume

Hii hatari kijana mwenye nguvu unaplan kupiga mizinga badala ya kuplan namna kutafuta vyanzo vya kukuingizia pesa.

Hivi hamuon kama ni utumwa sana kila siku uwe mtu wa kutegemea misaada?

Nyambaaaaaaaaf.
Vijana wenye mawazo kama ya mtoa mada mara nyingi wanaishia kuwa mapunga.....maana wanakuwa wanaikataa asili ya mwanaume ambayo ni kutafuta na sio kutafutiwa.....Mwanaume kwa maana ya mwanaume muda wote anawaza na kuwazua nini afanye ili aweze kujikwamua kutokana na hali aliyonayo....Hapo ndipo ule msemo wa kuwa BABA ni kichwa cha familia unapotimia........Lakini maajabu vijana wa kiume wa miaka hii wanawaza kupewa tu tena kibaya zaidi na wanawake.......ndio maana mapunga na mashoga wanaongezeka kila uchao...
 
Kinamama papuchi zao zimeshakuwa hoi...vibinti vitu taiti...unaenjoy mpenyo
 
Vijana wenye mawazo kama ya mtoa mada mara nyingi wanaishia kuwa mapunga.....maana wanakuwa wanaikataa asili ya mwanaume ambayo ni kutafuta na sio kutafutiwa.....Mwanaume kwa maana ya mwanaume muda wote anawaza na kuwazua nini afanye ili aweze kujikwamua kutokana na hali aliyonayo....Hapo ndipo ule msemo wa kuwa BABA ni kichwa cha familia unapotimia........Lakini maajabu vijana wa kiume wa miaka hii wanawaza kupewa tu tena kibaya zaidi na wanawake.......ndio maana mapunga na mashoga wanaongezeka kila uchao...

hapo ni dhahiri kuwa mtoa maada ni punga.
 
Mkuu Shy land kweli haya ndio mawazo ya kuwashauri wenzako?
Unakumbuka niliyokuambia kule kwenye biashara na uchumi?

Nilivyosoma ile post yako nikaona ww ni mvivu ndio maana hata hapa unatoa ushauri wa kivivu kwa wavivu wenzako.

Ni aibu kubwa sana kwa mtoto wa kiume kula jasho la mtu tena mwanamke huku ww ukiwa unaanika pumbu juani kama mamba anayeotea jua ufukweni.

Ujasiri wa mtu na juhudi ya mtu ahiletwi na mtu mwingne bali ni yeye mwenyew. Unajifedhehesha kwa mambo madogo.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu rudia upya kuisoma habari, inasema kwa wale vijana ambao wanalalamika kuombwa hela, ndiyo inawahusu vile vile kwa vijana watafutaji maana wakina mama hawa hawa cosume hela. tofauti na mabinti.
 
Last edited by a moderator:
Hayo yote mateso,kwanini uwe na mmama wa watu am aye humwoi?wapo girls wenye future hawana mizinga,wakuchuna ni vicheche tu wauzaji,mbabe anayejielewa hana hayo

Umesoma mada mwanzo mpaka mwisho?
 
Back
Top Bottom