Ushauri Kwa Tundu Lissu


Kipaumbele chako chaweza kuwa misifa na mi PhD, anaweza kuwa na kipaumbele cha Kuhubiri injili.
 
Phd zinakufanya uonekane special Tanzania kwenye obsession na hii qualification.

Ukienda nchi kama Nigeria tu ambapo ni common qualification wala umtishi nayo mtu.

Ukienda nchi za magharibi ndio kabisa ukijifanya mjuaji kisa Phd utaambiwa peleka wazimu wako kwengine; hasa kwenye mabunge.

Mfano

Kwasi Kwerteng atumii tu title yake. Ila ni Dr. Kwasi Kwerting ana Phd ya uchumi kutoka Cambridge University, masters kutoka Havard, bachelor ya economics kasoma Cambridge na elimu ya secondary ni Eton (moja ya shule bora duniani). Ni highly educated tena from prestige education institutions duniani.

Amefanya kazi kama analysts wa uchumi kwenye taasisi kubwa nchini kwao kabla ya kuingia kwenye siasa. Kilichomtokea nadhani wote tumekiona pondwa kwa hoja hajui uchumi kama vile darasa la saba.

Utaki kujua elimu ya mtu kama anavyojulikana Ed Balls (ila kwa title ni professor Balls, huyu kafundisha mpaka havards, ana utitiri wa honorary degrees za uchumi duniani) alipokuwa mwanasiasa bungeni akitwanga kwa hoja utadhani sio mtaalamu wa hayo maswala.

Kwenye siasa za nchi za wenzetu kuna PhDs kibao lakini awatumii tu hizo title, na famous wengine walio nje ya siasa. We ukiona mwandishi wa habari kashinda tuzo nchi za wenzetu soma biography yake salaleh utakuta kasoma mpaka Phd na hizo za honorary anaweza jaza A4 page ndio kwanza anaitwa miss sijui nani title yake.

Hizi Phd mna obsession nazo watanzania tu, lakini hazikufanyi wewe ndio kila kitu kielimu au mjuaji kushinda watu wenye bachelor ya kawaida tu.
 
Kuna kitu pia nimejifunza, kuwa na maarifa mengi kichwani ni jambo moja,

Kuyatumia maarifa hayo kusaidia wengine ni jambo lingine,

Na kuyatumia maarifa mengi uliyonayo kichwani kujisaidia kutatua changamoto zako binafsi ni jambo lingine gumu kabisa.

Sishangai kuona Mtaalamu wa KILIMO anayesaidia wakulima hawezi kuwa na hata bustani ndogo Nyumbani kwake Kutoa somo Kwa vitendo Kwa family.

Au Mtaalamu afundishaye ENTREPRENEURship na wanafunzi wakatajirika, bt Yeye kushindwa kuwa na hata duka dogo mtaani kufundisha Kwa vitendo.

Tunategemeana, kama urefu wa vidole unavyotofautiana.
 
Kusoma sana hakukufanyi kuwa na majibu yote ya jamii ata yale uliyosomea hasa kwa mwanasiasa.

Hilo ni jukumu la wasomi wengine ambao wameajiriwa kama analysts; mfano wachumi waliojariwa sehemu zilizojikita na kukusanya takwimu hawa kutwa wanakusanya data, wanaagalia trend, asses factors zinazosabisha trend na kuja na mapendekezo. Sasa kama na wewe umesoma uchumi unaweza tumia data hizo hizo kuja na mtazamo mwingine sio lazima uwe na Phd kwenye ku analyse na hawa ndio wanasiasa.

Au wasomi wengine utawakuta kwenye Research and development hasa wenye Phd za science; either kwenye vyuo huku wakifundisha part time tu na kutumia muda mwingine kwenye research.

Wasomi wengine wameajiliwa na vitengo vya serikali au kampuni kubwa ambazo zina focus kubwa on research and development ili kuwa ahead in innovation; hawa ndio wasomi wenye impact.

Lakini umesoma tu mpaka Phd na data unazotumia kuuza sera zako na wenzako wanasoma data hizo hizo. Utakacho wauzia as far as wazungu are concerned hizo ni interpretation zako sio lazima wakubali na wao wanaweza tumia data hizo hizo kutafsiri vingine and thatโ€™s politics. Lakini umtishii mtu nyau kisa wewe ni Phd na hizo data unaweza kuzi interpret vizuri kushinda wengine.

Ukienda kwenye sheria wewe Phd bungeni humo kuna ma barrister na anaitwa sijui sir.nani (ukisikia mwanasheria anaitwa sir) kama Keith Starmer; hiyo hadhi anapewa mwanasheria ambae field inamtambua uwezo wa kutafsiri sheria na ameshawagalalaza watu kibao mahakamani kwa muda mrefu huyo mtu anasifa wa kuwa judge wa mahakama kuuza, sasa wewe mwende kichwa kichwa na Phd yako ya sheria ukione cha moto.
 
Kuelekea kuandika KATIBA mpya,

Wanasiasa, na vyeo vya kisiasa walipwe kiduchu.

Hii itasaidia professionals wabaki ktk professions zao,

Ili mtu achaguliwe kuwa mbunge, lazima awe ameitumikia Nchi na kubobea ktk shughuli Fulani ya kuzalisha Mali au kusaidia JAMII,

Vyeo vya kisiasa walipwe kiduchu,

Kuwa Mwanasiasa iwe ni KAZI ya WITO yaani mtu aende kuwa mbunge kusaidia JAMII yake.

Tuwe kama uingereza, Mwanasiasa anaelipwa kiduchu, Awe mbunge Kwa Uzalendo, Si ubunge au urais kama source of income kujitajirisha.
 
Siasa ni complicated watu wanafanya kwa sababu tofauti na kwa qualifications tofauti. The common denominator ni kuguswa na issue za jamii; na wanaokutuma wanakuamini unaweza wasemea vizuri kushinda mwingine.

Sasa anaetumwa na wakulima wa Kiteto anaweza kuwa anazijua changamoto za sehemu husika kuliko huyo msomi; kwa ivyo yeye ni mtu sahihi kuwasemea ata kama elimu yake sio kubwa. Hata bunge la uingereza lina watu wengi hawana degrees kushinda Tanzania; ili la sasa wanakaribia 100 na hizo numbers ni kawaida.

Kuna wengine wamesoma na wana morals za mlengo wa siasa (left or right) awakubali kuona direction ya nchi yao na athari zake hasa kwenye income distribution; wanaamua washiriki siasa.

Kuna wengine walikuwa na aspiration za kuwa wanasiasa udogoni for the sake of it; hawa ndio design ya kina Rish Sunak au Rachel Reeves (wapo wengi tu) wameacha mishahara mikubwa private sector kwa sababu wanadhani siasa ndio wito wao wa asili toka wapo vyo; na ata kesho wakikosa ubunge awakosi six to seven figures salary in private banking wameacha kazi huko wakiwa bado wanahitajika.

Huko kwao kuna life chances siasa sio kukimbia njaa, kwetu asilimia 90 ya wabunge ni maskini sasa uwe msomi au la utacheza mziki wa mwenyekiti wa chama vinginevyo unatoka aje mwingine mwenye kulamba miguu vizuri hizo ndio siasa za Tanzania kwa sasa.
 
Hapo tu alipo ufahamu wake na ujazo wa maarifa na ujuzi katika fani ya Sheria & politics and his general knowledge in large is more than a PhD holder..

Labda kama unamshauri apate kutafuta recognition by papers i.e atambulishe PhD yake kama makaratasi yaitwayo "cheti/certification"
 
Nini maana ya specialization au division of labor. Kwa hiyo unataka profesa wa kilimo pale SUA anayeshinda maabara kufanya tafiti za kisayansi kuhusu kilimo aende Ifakara akalime mpunga? hii nchi Ina watu wajinga sana.







Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Nasikitika kusema,

Akili Yako haivuki MTO.

Rudia kusoma comment zangu zilizopita ujue msingi wa niliyoandika.

Usikurupuke.
 
Kwani yeye anategemea kuteuliwa au atagombea ktk uchaguzi?
Kama waTZ wataamua kumchagua wewe nani kusema hafai?
Walioongoza baada ya wewe kusema wanafaa walifaa katika lipi?
Nyinyi wanafamilia mliojimilikisha uongozi wa hii nchi mmetutesa vya kutosha, sasa waanchieni waTZ nchi yao!
 
Mtaani kwake TEGeta ukisema tundu Lisu humpati ,hakikisha umeaza na Neno Mzee Lisu
 
Eti Balozi, Dr.,Eng..Kanali mstaafu fulani' sijui....Tz Kwa tittles !...kaazi kwelikweli..
 
Eti Balozi, Dr.,Eng..Kanali mstaafu fulani' sijui....Tz Kwa tittles !...kaazi kwelikweli..
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nimeona kitu kama hicho katika gazeti moja hivi majuzi. Yani we acha tu. Halafu unasikia Itifaki imezingatiwa..... ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚ huwa najigaragaza๐Ÿ™ƒ
๐Ÿ™ƒ๐Ÿ˜‰
 
Wewe fanya study kwanini hapa Tanga mnaishi kwenye magofu utapewa PhD ya heshima na Machame University!
Na kweli, kwa vyuo vyetu vya kipuuzi unaweza kupata. kama akina magufuli walipata, why not me?
Tanga nakuja occasionally, I am not a resident of Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ