machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 856
- 1,873
- Thread starter
-
- #21
Mkuu umeongea vizuri sana hasa ulipo gusia mambo ya mikataba maana hapo ndio sehemu tunapo anzia kupigwa.Kaka hakuna Mkataba usiokuwa na kipengele cha kuvunja Mkataba.
Kila Mkataba lazima HICHO kipengele kiwepo, Mbona enzi za JPM wale Barrick walibanwa mpaka wakakubali kulipa fidia ya mamilioni ya Dola na Mkataba mpya ukaandaliwa na Sasa hivi Tanzania tuna hisa ya 16% kwa Barrick na tuna watu wetu ndani ya Barrick KUSIMAMIA hilo.
Na hiyo 16% ni ya kuanzia lakini Kila baada ya miaka 5 inaongezeka hiyo asilimia kwa asilimia 3% hadi 10% kadri Hali itakavyokuwa inaruhusu na bado Barrick walidhia hilo.
Ni kichaa pekee ndiye atashindwa KUSIMAMIA RASIMALI za nchi ili ziwanufaishe wananchi na kuondokana na umasikini tulionao na kupunguza ugumu wa maisha badala ya kukimbilia tozo.
Kwa kifupi Tozo yeyote itakayowekwa na Serikali itaongeza ugumu wa Maisha kwa Mwananchi masikini wa Tanzania.
Tafuta Blueprint document iliandaliwa enzi za JPM iliangazia sekta zote za uchumi na utitiri wa Kodi, ushuru, Tozo, n.k. ulikuwepo na ilivyomshauri JPM kuondoa hizo Tozo na Kodi zilizokuwepo enzi hizo JPM akiwa Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara nchini
Hakuna jobless mwenye akili zimevimba km busha. Kwa rasimali na mikopo iliyokopwa kwanini usiseme ielekezwe huko kwenye huduma za afya mpaka useme wananchi wabebeshwe zigo la ongezeko la kodi ilihali tayari wana mateso ya kodi zinazowaneemesha watawala.!! PumbavuSijalipwa na yeyote mimi ni job less hapa yenyewe nimeweka bando la jero 245mb na VPN inavopeleka moto sizani kama saa Tisa mbs zitatoboa. Nirudi kwako mbona matusi mkuu
Ziliongezea tozoSelikali iongeze tsh 500 kwenye Kila bidhaa ili afya na matibabu yote yawe bure. Asante
Hapo ndo roho inaanza kuuma. Yaani Kodi na tozo watu wanazolipa wananunua bugati aisee aijakaa sawaaZiliongezea tozo
Kodi za majengo zimekua well implemented
Cha ajabu zinanunulia bugatti
Kwa maskini ukitaja laki lazima akushangae sana!Waweke bima za bei ndogo hata mtu alipe laki 1 kwa mwaka atibiwe yeye na familia yake kwa mwaka
Mkuu ni wazi kwamba hatuna uwezo wa ku utilize rasilimali kuwa na dhamani bila ya kutegemea watu kutoka nje.Hakuna jobless mwenye akili zimevimba km busha. Kwa rasimali na mikopo iliyokopwa kwanini usiseme ielekezwe huko kwenye huduma za afya mpaka useme wananchi wabebeshwe zigo la ongezeko la kodi ilihali tayari wana mateso ya kodi zinazowaneemesha watawala.!! Pumbavu
Waliweza kwasababu idadi ya watu ilikuwa chache sana kipindi hikoKwa maskini ukitaja laki lazima akushangae sana!
Bima zote washafirisi, kikubwa ni kubuni vyanzo ili wananchi watibiwe bure.
Mbona Nyerere na Mwinyi snr hatukusikia ada za shule ama kulipia matibabu, wao waliwezaje?
Mungu ni mwema tutapata mwingine mzuri zaidi yake.Kiongozi pekee aliyehakikisha muwekazaji haji TANZANIA kuibia nchi alikuwa JPM tu bahati mbaya hatunaye ameshafariki hadi atokee mwingine itachukua muda
mpo wangapMbona zanzibar hazijaongezwa bidhaa na wanatibiwa bure, huku tumekwamia wapi?
Kutibiwa bure ni ngumu hata hii nchi tukiwapa wazunguKwa maskini ukitaja laki lazima akushangae sana!
Bima zote washafirisi, kikubwa ni kubuni vyanzo ili wananchi watibiwe bure.
Mbona Nyerere na Mwinyi snr hatukusikia ada za shule ama kulipia matibabu, wao waliwezaje?
Toa sababu za kimantiki!Kutibiwa bure ni ngumu hata hii nchi tukiwapa wazungu
Serikali ya Nchi gani?Selikali iongeze tsh 500 kwenye Kila bidhaa ili afya na matibabu yote yawe bure. Asante
Bakini na Litanganyika lenu na visogo vyenu hukoAaaha kumbe Zanzibar wanatibiwa bure. Me Hilo silijui hapo ndo jambo Zima la muungano linakuja kuwa halina maana
Ni uongo kusema zanzibar wanatibiwa bureToa sababu za kimantiki!
Nyerere aliwezaje, au ueleze Zanzibar wamewezaje?