jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,370
Mtu wa kwanza hapa duniani kukata dry alikuwa Caini alipo ulizwa na Mungu yuko wapi mdogo wako Abel akamujibu Mungu kwani Mimi in mlinzi wake?
Ha ha ha ha hii ilikuwa dry kweli kweli
Mtu wa kwanza hapa duniani kukata dry alikuwa Caini alipo ulizwa na Mungu yuko wapi mdogo wako Abel akamujibu Mungu kwani Mimi in mlinzi wake?
Hivi kama mnaona hana kosa, je mtu akitembea uchi mitaani aachwe tu?waislamu husema yesu sio mungu kitu ambacho kinatuumiza na kinauelekeo wa kutuumiza kiimani yetu je tuwashitaki ? katika biblia swala la tafsiri kuwa yesu alikunywa pombe sio la juzi ni tangu tanganyika haipo na wana justification zao
mfano
zaburi 104:15 Na divai ambayo hufanya moyo wa mwanadamu anayeweza kufa ushangilie,+Kuufanya uso ung’ae kwa mafuta,+Na mkate unaotegemeza moyo wa mwanadamu anayeweza kufa.+
ambazo wanahitaji mafunzo sahihi kwa uelewa wao mdogo kuchukua kimstari wanaconclude unakumbuka noah alikuwa anaongea na mungu dairly lakini alikuwa always analewa vibaya
hili nalo neno!Uyu Tito anaweza kuwa fursa kumtumia kwenye kampeni !
Nitarudi...
Ameandika wakilisto, sio waklisto. Usimlishe manenoWAKLISTO ni akina nani hao?au ulimaanisha Wakristo?
Hivi kama mnaona hana kosa, je mtu akitembea uchi mitaani aachwe tu?