Ushauri kwa serikali kuhusu SALARY SLIP

Ushauri kwa serikali kuhusu SALARY SLIP

Ni kweli,ila kwa mfano kwenye hizi halmashaur huwa salary slip zinapatikana,uwekwe utaratibu ofis husika impe mtu posho ya kufata salary slip,mie ofisin kwangu kila aendae halmashaur huchukua za watu wote na kuzileta ofsin
Inaonekana halmashauri zinakuja, kwenye mashirika ya umma hazipo tangu mwezi wa 5 na tukiuliza HRs wetu wanasema hazina haijaleta
 
Kwanza kwanini ufunge safari uifate wakati ni haki yako halali kupewa...
Wanatakiwa waache kuendesha mambo kianalojia..dunia imebadilika...email huwa zinajazwa kwenye particular za mfanya kazi za nini...
Mi nahisi kuna hela zinaibiwa kimya kimya [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakikata 10000 kwa kila muajiriwa wana sh ngpi kwa mwezi[emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]
Si ajabu anayecomment tuzifuate hazina/dar ni mtumishi kule hazina! Anamajibu ya kiboya kweli
 
Salary slip ni za muhimu sana kwa mtumishi.Nakumbuka mimi ziliniokoa kupata pesa yangu PPF niliacha kazi wakati nafuatilia mafao yangu.
Jeduwali lilikuwa ninaonyesha sikuwa nimechangia kwa muda wa miaka 2 na pili linaonyesha nilishachukua michango yangu.
Ikabidi nipeleke salary slip zangu zote tangu nilipoanza kazi mpaka nilipoacha kazi ndio wakaanza kufanya marekebisho.nilipata pesa zangu lkn nilisota kuzipata.
Hongera na pole nyingi kwa kuzisotea! Mi natunza sana hizi slips ila mwaka huu mambo yamekuwa siyo na imenileta shida kwenye kuprocess mambo yangu.
 
Inaonekana halmashauri zinakuja, kwenye mashirika ya umma hazipo tangu mwezi wa 5 na tukiuliza HRs wetu wanasema hazina haijaleta
lakini mashirikanya umma yana slips zao tofauti na hazina? uko shirika gani la umma linatumia slips za Hazina?
 
lakini mashirikanya umma yana slips zao tofauti na hazina? uko shirika gani la umma linatumia slips za Hazina?
Tangu 2014 utaratibu wa zamani wa mashirika ya umma kuandaa slips zake yenyewe ulifutwa. Ilikuwa ni kipindi ambacho mishahara yote ilianza kupitia hazina moja kwa moja badala ya kuletwa kwenye shirika.
 
Kwanza kwanini ufunge safari uifate wakati ni haki yako halali kupewa...
Wanatakiwa waache kuendesha mambo kianalojia..dunia imebadilika...email huwa zinajazwa kwenye particular za mfanya kazi za nini...
Mi nahisi kuna hela zinaibiwa kimya kimya [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakikata 10000 kwa kila muajiriwa wana sh ngpi kwa mwezi[emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]
Well said mkuu.
 
Habari za asubuhi ndugu wanajukwaa?

Kwa wafanyakazi wa serikali mtafahamu kuwa imekuwa ni muda mrefu sasa wafanyakazi wa serikali hatupati haki yetu ya hati za malipo ya mshahara - salary slip. Hapa ofisini mara ya mwisho kupata salary slip ilikuwa mwezi wa 5, 2016.

Tumekuwa pia tukiskia mambo mengi kuhusu hili, ikiwemo serikali kukosa karatasi za kuprint hizo slips na mengine wanayoyajua wao.

Nitoe wito kwa HAZINA kuwa kama suala ni kukosa karatasi basi iachane na kusubiri bajeti ya serikali kwenye karatasi ianzishe mfumo wa kieletronic ambapo kila mtumishi wa serikali kupitia "check number" yake ataweza kuaccess system na kuona e-slip yake na kama atapenda aprint mwenyewe kwa gharama zake.

System hiyo ipatikane kama webpage au mobile app au hata kwa wasio na uwezo wa kupata internet iwepo namba maalum ya mtu kurequest hiyo slip kupitia simu yake (Nokia torch).

Nawasilisha.
Mmmh!, kumbe ni issue ya kitaifa...nlidhan huku kwetu tuuu!.
 
Gharama ya nauli nani analipia. Kuna watu kutoka ofisi zao zilipo mpaka ofisi alipo afisa utumishi nauli si chini ya 60,000 kwenda tu. Tembea uone.
Wazitume kwenye email zao, done.
Mkuu kuna vitu vinahitaji akili ndogo sana hata ukileta salary slip za kutoka hazina ni bado utaenda halmashauri kuchukua! bado gharama zipo palepale.Pia kama hiyo sehemu unatumia gharama hizo ni wazi eneo hilo ni vijijini haswa hivyo hata huduma za internet zitakuwa hazipo bado itakubidi kurudi Mjini kupata huduma za internet bado utatyumia gharama
 
Kama umewahi kufanya kazi katika maeneo ya vijijini unaweza ukaelewa ninachokisema, si kwamba eneo zima halina mtandao la hasha, bali ukitembea kilomita 5 hivi unapata mtandao, tofauti ukitembea kilomita 300 kwenda mjini gharama ni kubwa. Na mara nyingi vijijini eneo kama hilo ndipo utakuta pamewekwa mpesa, tigopesa, stationary na huduma nyinginezo
 
Wahusika watasha ma hili halitekelezeki ili wawanyime salary slip... Smh
 
wanaume wa dar walikugegeda nn?
Wa mikoani nyie mkja dar mnakuwa kama hivi
IMG-20161220-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom