ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,318
- 50,531
Naishauri serikali itunge sheria zitakazo wabana mafundi wa nyumba. Mfano mafundi rangi. Mafundi tiles. Kwa kila nyumba itayojengwa kuwe na mkataba MAALUMU unaonyesha makubaliano kati ya mwenye nyumba ili kiasi kadhaa kiende pia serikali na mpate mapato. Mfano fundi tiles anaweza akapewa laki 7 ili kuweka tiles kwenye nyumba lakini hela hio yote hakatwi chochote.. Ni muda muafaka sasa na wenyewe walipe kama wanavokatwa WATUMISHI wengine