Eti uzoefu , uzoefu my black ass , utadhani kuna cha maana wanachofanya humo kwenye hizo taasisi , tena hizi za serikali ndio kabisaa , umbea na majungu siku nzima .Na siku ikifanyika system re-evaluation and overhaul more than 70 percent ya watumishi WA serikali hawarudishwi kwenye hizo nyadhifa zao .Kwa sababu wanajijua ni viazi that's why they are scared to death of changes .Kwa
style ile ile ya kuingia ofisini kujibu email na kupigishana story kunahitaji uzoefu wa miaka 1O kweli?
Serikali igawanye Keki ya taifa Kwa usawa , si sahihi mtu au watu kujimilikisha hizi taasisi na vitengo vya Umma , jitu linafanya kazi miaka 30 ,40 miaka 50 wtf !
Kwamba Hamna watu wengine WA kupata hizi nafasi na kulitumikia taifa ?