Ushauri kwa Serikali: Ajira za mkataba ndiyo suluhisho pekee la uhaba wa ajira nchini

kwakweli. Mleta mada akipata ajira serikalini sidhani kama atabakiwa na ili wazo
Mkuu nina miaka nane sasa kama muajiriwa wa serikali!!watumishi tunakaa kazini muda mrefu sana vimishahara vidogo hadi tustaafu ni bora tuajiriwe kwa miaka michache tupate hela nyingi tufanye ujasiria mali mwingine kuliko kuajiriwa hadi tuchoke kabisa ndio tupewe hela!!!
 
Ni kweli kabisa, kazi zingekuwa na mikataba hio hata hao viongozi wasingeshindana kufanya anasa! Wangejikita kufanya ya msingi sababu miaka michache ijayo wanatupwa mtaani na system.
Nakubali. Hata vyeo vya kisiasa ni hivyo hivyo. Kiongozi akijua kesho kuna uchaguzi huru na wa haki, atafanya vizuri kwani anajua bila kufanya vizuri atatupwa kando. Kwa kifupi bila mashindano watu hubweteka. Ndiyo maana siku zote mimi hulaani wanasiasa na watu wanaokataa katiba mpya. Vyeo vya sasa vinatolewa kwa fadhila na rais, na haogopi chochote kwani anajua uchaguzi ukija ataiba kura.
 
Inabidi kumuondolea powers hizo raisi na mpini tuushike wananchi!
 
Utajiongeza sasa kama unanunua bundle za bati au una save pesa ikufae baadae! Sababu hata wa mikataba ya miaka 60 inflation iko pale pale!
Saving Money Is not a Solution. Hii ni Njia ya Mabenki Kupata Pesa Za Kuwakopesha Watu ili Zipate Faida.

Why unasave Money while BOT wanaprint Pesa zaidi? Ushawahi jiuliza Kwanini Umesave Pesa Ila BOT wanaprint Pesa
 
Nakubali. Hata vyeo vya kisiasa ni hivyo hivyo. Kiongozi akijua kesho kuna uchaguzi huru na wa haki, atafanya vizuri kwani anajua bila kufanya vizuri atatupwa kando. Kwa kifupi bila mashindano watu hubweteka. Ndiyo maana siku zote mimi hulaani wanasiasa na watu wanaokataa katiba mpya. Vyeo vya sasa vinatolewa kwa fadhila na rais, na haogopi chochote kwani anajua uchaguzi ukija ataiba kura.
Ndio maana uchaguz ukikaribia wanajipendekeza kwa raia😅
 
Saving Money Is not a Solution. Hii ni Njia ya Mabenki Kupata Pesa Za Kuwakopesha Watu ili Zipate Faida.

Why unasave Money while BOT wanaprint Pesa zaidi? Ushawahi jiuliza Kwanini Umesave Pesa Ila BOT wanaprint Pesa
Sasa usiposave ukimaliza mkataba unaenda kula kwa babaako ama?
 
Huu ni UPUUZI MTUPU!!! Unawaajiri watu ná kuwapa training yenye gharama kubwa katika utendaji wa kazi zao za kila siku. Baada ya miaka mitatu wakati tayari wana experience ya kutosha katika utendaji wa kazi zao unawaondoa na kuwaleta wapya ambao hawajui chochote na zoezi la kutoa training upya linaanza tena!!! UPUUZI MWANZO MWISHO. Kuna wizi, ufisadi na ubadhirifu mkubwa sana Serikalini kama mianya hii ikiondolewa basi Serikali inaweza ikatoa ajira nyingine kati ya laki 5 mpaka milioni bila matatizo yoyote yale.
Ni Wazo Lake Mkuu ingawa Linakuwa Gumu sana Kutekelezwa. Ametoa Hili kutokana Na Kwamba Hali ya Mtaani Ni Mbaya Sana kwa Vijana Wahitimu
 
EXPERTS NA TOP MANAGEMENT WATAPATIKANA VIPI

MAISHA YA TRIAL AND ERROR
Top Management waende Ulaya wakafanye kazi huko! Bongo mfumo ubadilike ili kuondoa vilaza kwenye system tuna top management mbovu kuwahi kutokea ambayo inazurura tu kwenye midege!
 
Haiko realistic..
Waajiri wakuu nchini ni Sekta Binafsi..Na huko unalipwa kadri ya unavyozalisha..sasa ..
Hata ikiapply serikalini tu,kamwe tatizo la ajira halitakwisha naana hawawezi kuajiri watu wengi kama sekta Binafsi..
Walau hoja ya pili . (Vikomo vya madaraka ya kisiasa) inamake sense
Ni kweli mkuu kazi nyingi zina value experience ya mtu,kwa kampuni the cost ya kusubiri new graduates wapate uzoefu wa kazi sio sawa na ku retain employees ambao wana uzoefu.

Plus hii HAITAPUNGUZA TATIZO LA AJIRA since kila mwaka kuna wahitimu wengi wanashushwa mtaani, jibu ni kutafuta njia za kuongeza ajira na sio njia za kutafuta kugawana hicho kidogo kilichopo
 
Huwezi ukafanya hii kitu ni hasara kubwa sana Kwa Serikali na pia uchumi wa nchi utaanguka sana. Mfanyakazi anayejua baada ya miaka mitatu hana ajira unadhani atakuwa na long term plan ya kufanya mambo yake ya kimaendeleo?

Ni Wazo Lake Mkuu ingawa Linakuwa Gumu sana Kutekelezwa. Ametoa Hili kutokana Na Kwamba Hali ya Mtaani Ni Mbaya Sana kwa Vijana Wahitimu
 
Ni kweli mkuu kazi nyingi zina value experience ya mtu,kwa kampuni the cost ya kusubiri new graduates wapate uzoefu wa kazi sio sawa na ku retain employees ambao wana uzoefu.

Plus hii HAITAPUNGUZA TATIZO LA AJIRA since kila mwaka kuna wahitimu wengi wanashushwa mtaani, jibu ni kutafuta njia za kuongeza ajira na sio njia za kutafuta kugawana hicho kidogo kilichopo
Kunakuwa na program ya transition mbona ni easy tu!
 
Huwezi ukafanya hii kitu ni hasara kubwa sana Kwa Serikali na pia uchumi wa nchi utaanguka sana. Mfanyakazi anayejua baada ya miaka mitatu hana ajira unadhani atakuwa na long term plan ya kufanya mambo yake ya kimaendeleo?
Mkuu ujue baada ya 5 yrs haupo kazini unafikiri mshahara wako utaupeleka kidimbwi?
 
Sasa usiposave ukimaliza mkataba unaenda kula kwa babaako ama?
Think outside the Box. Nimekuuliza tu Unaposave pesa Hasa Hiyo Mil 1 utaikuta na Thamani yake Hiyo Hiyo Mil 1?

Unasave Pesa Ili uje Ule? Watu wanasave Pesa Ili zije zitoe Pesa Zaidi. Unaweka Pesa Ili Uje uzitumie baadae Utajikuta Unapata Bankrupt Unachanganyikiwa maana Unapokosa Kipato cha Kila Mwezi ulichokuwa unakitegemea Akili Hatowaza Maendeleo tena.
 
ah hii habari usiwaambie watu walio na ajira selikalini lazima wakuone mmbaya anauhakika na maisha bila ukomo
misharaha mitamu pale mzigo unaposoma umewekwa

unataka akajiajir kweli kuna jamaa moja ukimkuta anasema vijana wajiajiri ana business plan nyingi kichwani akikuchambulia chakufanya miaka mitatu unakua bilioner najiuliza kwanini yy hafanyi amengangania kweny kazi na take home ya laki 5 miaka yote toka 2014
 
Acha ujinga wewe!!! Kwa mishahara hii ambayo haikidhi hata gharama za maisha ya kila siku matokeo yake Wafanyakazi wana madeni kila kona? Tia akili kichwani. Hakuna ujinga kama huu mahali popote pale duniani.

Mkuu ujue baada ya 5 yrs haupo kazini unafikiri mshahara wako utaupeleka kidimbwi?
 
Back
Top Bottom