Ushauri kwa Sam Mahela, Mtangazaji wa ITV

Kuna cha uongo hapo? Mbona mimi vyote nimeona vya ukweli na mwandishi ametusaidia wengi ambao tuna mtazamo ka wake kuwa anastahili tuzo!
Mimi in siyo Sam Maela bali nafuatilia Sana habari zake anapokuwa anazurusha hewani kwa sababu mara nyingi zinagusa maisha ya watu naapa mbele ya Mungu Mimi siyo sam Maela
 
Hiyo ndo kazi yake sa mlitaka atangaze nini?!
Kwa iyo na polisi akikamata jambazi benki apewe tuzo?!
 
Ndugu Sam Mahela yote uliyoifanyia jamii ya Tanzania ni Mwenyezi Mungu pekee atakulipa. Tunaiomba Kituo cha ITV ikuzawadie kwa mema uliyofanya ikiwa ni pamoja pia na kupandishwa cheo. Mahela ni Msabato na Wasabato mara nyingi wana huruma sana.
 
Sidhani kama Sam anastahili tuzo hyo. Sina ujuzi wa mambo ya habari ila Sam anaripoti na kufuatilia habari ambayo kila mwandishi anwaweza ifanya.

Nafkiri tuzo inasthahili kwenda kwa mtu anae kuja na kitu kipya, either kapata taarifa kwa ujasiri mkubwa kiasi kwamba hata akayaweka maisha yake hatarini.

Au kaenda weka kambi mahala kwa muda mrefu kufuatilia jambo kwa kina na kuielimisha jamii kitu kipya.

Hapa namkumbuka BETTY MKWASA alivyoweka kmbi MAKETE masuala ya UKIMWI.

PIA KAZI ALIYOIFANYA JERRY MURO KUFICHUA RUSHWA YA TRAFIC.

REPORT ZA SAM LAINI SANA.
 
Mkuu sikuungi mkono mawazo yako. Waandishi wengi mnareport vikao na matamasha ya chama na serikali. Maana yake ni kwamba mnasubiri muitwe kwenye press conference. Kama na wewe ni mmoja wao jirekebishe kwa kuiga mfano wa Sam.
 
Soma tena nlichoandika. Usikurupuke.
 
Mkuu sikuungi mkono mawazo yako. Waandishi wengi mnareport vikao na matamasha ya chama na serikali. Maana yake ni kwamba mnasubiri muitwe kwenye press conference. Kama na owewe ni mmoja wao jirekebishe kwa kuiga mfano wa Sam.
Ulicho mjibu ndiyo halali Yake na pia hizo tuzo zimegawanywa katika makundi mbali mbali pia waandishi wengi siku hizi wanasubiri kuitwa tu.
 
Sina hakika kama ni Godfrey Monyo au Sam Maela, Kwenye habari za saa mbili usiku jana Alhamisi tarehe 05/02/2015 alikuwa sehemu fulani huko Mafia.

Hii habari ilihusu shamba lenye ekari 4000 ambalo mwekezaji amemilikishwa na serikali huku ndani ya 'shamba' ni makazi ya wananchi wa asili walioishi sehemu hiyo (ndani ya shamba) kwa zaidi ya miaka 40 (arobaini).

Kilichonigusa (either kwa furaha au huzuni) ni jinsi wananchi wasiokuwa na kosa lolote wanavyotafari ni wapi wataenda lakini zaidi ni mwekezaji (the so called investor) anavyoongea kwa jeuri huku akisema wazi kuwa aliuziwa shamba tokea Dar e Salaam - Wizarani na akisisitiza wananchi wampishe!!!

Mwenye hii habari kamili anaweza kutuwekea hapa vizuri maana inatupa picha halisi ya ni gani nchi hii imeshauzwa kwa wageni wakishirikiana na vibaraka wao.

Sio ajabu hata matangazo ya ITV yamekuwa yakihujumiwa na Startimes/TCRA/Serikali (whomsoever) ili wananchi wacheleweshwe kujitambua kupitia kwa waandishi wenye upeo na uchungu kama akina Sam Maela!
 
Huyu anatakiwa tuzo ya mwandishi wa habari aliyewezesha watu wengi kupata msaada kupitia kwako Sam mahela Mungu atazidi kumbariki daima
 
Ila ile nyumba yule mama aliyetelekezwa na mumewe aliyopewa na COVENANT BANK haifiki 25mil kama mlivosema ile ni fix tupu, thamani yake hawezi kuzidi 8 Mil like,ila big up unafanya kazi kwa bidii
Kumbuka wamenunua mpaka kila kiwanja lakini kama umeona haizidi milioni 8 ni mtamazo wako Wewe umesaidia wangapi???
 
Sidhani kama Sam anastahili tuzo hyo. Sina ujuzi wa mambo ya habari ila Sam anaripoti na kufuatilia habari ambayo kila mwandishi anwaweza ifanya.

Nafkiri tuzo inasthahili kwenda kwa mtu anae kuja na kitu kipya, either kapata taarifa kwa ujasiri mkubwa kiasi kwamba hata akayaweka maisha yake hatarini.

Au kaenda weka kambi mahala kwa muda mrefu kufuatilia jambo kwa kina na kuielimisha jamii kitu kipya.

Hapa namkumbuka BETTY MKWASA alivyoweka kmbi MAKETE masuala ya UKIMWI.

PIA KAZI ALIYOIFANYA JERRY MURO KUFICHUA RUSHWA YA TRAFIC.

REPORT ZA SAM LAINI SANA.

Kwa kutambua mchango wa bethy na jerry pia ungepaswa kutambua kazi ambayo kwa maoni yangu ni kubwa na ya hatari sana iliyowahi kufanywa na aliyekuwa mwandishi na mtangazaji mahiri wa BBC Vicky Mtetema.

Huyu mwana mama aliweka kambi kanda ya ziwa kufanya uchunguzi juu ya mauaji wa zeruzeru.

Huyu mama alifanikiwa kukutana na wauaji, waganga wanaowatuma wateja viungo vya zeruzeru na baadhi ya wateja huku akijifanya naye ni mteja...

Alifanikiwa kubaini mtandao mzima wa wanaojishughulisha na mauaji hayo...alitishiwa sana huyu mama kuuawa baada ya kutoa ripoti yake...mpaka leo serikali sikivu ya ccm haijasikia ili ichukue hatua kuufuta mtandao huo.

Tafakari...
 
Baada ya yote aliyofanya Vicky Ntetema unajua kilichompata!?? Tanzania Investigative Journalism ni kazi sana! Japo simaanishi kwamba haiwezekani!
 
Kwa kweli mkuu sikujua mwisho kilimpata kitu gani... Nilibahatika tu kisikia ripoti yake ya kusikitisha na jinsi alivyokuwa anatishiwa mauti kama angeendelea kuripoti...

Na mimi kumbusha habari za huyu mama ilikuwa kuwakumbusha wanajamvi wajue zaidi ya akina sam, jerry na bethy kuna watu wamefanya investigative coverage zenye kuhatarisha maisha yao...

Kama unataarifa nzuri ya kilichompata tafadhali nijulishe kwa maana since nilipenda kujua habari za huyu mama...kwangu yeye ni zaidi ya wote hapa tz...

Tafakari...
 
Mtu akija na details za diamond,zari,wema na wengine hamshangai lkn mambo yanayogusa jamii mnashangaa.......!!!!!????
Mungu atusaidie watanzania
 
Kwa kutambua mchango wa bethy na jerry pia ungepaswa kutambua kazi ambayo kwa maoni yangu ni kubwa na ya hatari sana iliyowahi kufanywa na aliyekuwa mwandishi na mtangazaji mahiri wa BBC Vicky Mtetema.

Huyu mwana mama aliweka kambi kanda ya ziwa kufanya uchunguzi juu ya mauaji wa zeruzeru.

Huyu mama alifanikiwa kukutana na wauaji, waganga wanaowatuma wateja viungo vya zeruzeru na baadhi ya wateja huku akijifanya naye ni mteja...

Alifanikiwa kubaini mtandao mzima wa wanaojishughulisha na mauaji hayo...alitishiwa sana huyu mama kuuawa baada ya kutoa ripoti yake...mpaka leo serikali sikivu ya ccm haijasikia ili ichukue hatua kuufuta mtandao huo.

Tafakari...

Nakubaliana nawe kiongozi.
HAWAPASWI KUWA NA UOGA, 'HARD WORK PAYS'

SAM SI WA KUJIPIGIA DEBE HAPA, APIGE KAZI NGUMU.

NAFKIRI UNAMFAHAMU JOYCE MHAVILE, MAKALA ZAKE ZINAVYOKUAGA MOTO., UNAIKUMBUKA .' Je' KULIKONI??

SAM AFUATE NYENDO HZO. TUZO HAIJI BURE..
 
Back
Top Bottom