benny nyam
New Member
- May 20, 2015
- 3
- 0
Jamaa ni kichwa
Huyu kijana anaitaji pongezi sana na ushauri uliyompatia ajitahidi afanye hivyo kwa kweli habari zake zimegusa hisia za watanzania walio wengi habar ya kina yule aliyekuwa na uzito mkubwa iliniumiza sana baada ya kusikia amefariki kwa mashirika ya ndege kutokumbeba kwenda india kwenye matibabu
wewe utakua chekechekea??maswali ganya kipumbavu na kijinga hvyo?kesho utauliza kwa nn anatumia mikon kusisitizo taarifaHivi ni kwanini huyu ndugu akiwa anamalizia simulizi zake kwenye tv pale anapotaja jina lake huwa anatingisha tingisha kichwa kama ana stroke vile?? au ndo sign off signature yake???