Ushauri Kwa Rais Samia, vyama vilivyoshiriki Uchaguzi ndo viingie kwenye maridhiano baada ya uchaguzi

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,126
Reaction score
9,593
Huu ni ushauri kwa Rais Samia. Nimeona wewe na Nchimbi mnahaidi kuunda tume ya maridhiano ndani ya siku 100 mkichaguliwa.

Naomba nitoe ushauri kwa Rais Samia. Tunaomba CCM ilidhiane na vyama vilivyoshiriki uchaguzi kama CHAUMMA, NLD,NCCR, CUF na vingine.

Mama husilidhiane na Chadema Kwa sababu zifuatazo.

1. Mwenyekiti wa Chadema ni Muhaini.

2. Chadema wamesusia Uchaguzi.

3. Chadema wamefungiwa kufanya shughuli za kisiasa, Hawana Ruzuku na viongozi wao hawatambuliki na msajiri.

Hivyo basi mama ukishashinda ridhiana na CHAUMMA ya Salum Mwalimu.

Na nyie Chadema mkiitwa Kwa maridhiano msiende maana hamtakiwi ndo maana serikali inawaumiza Kila siku.

CCM nawatakia maridhiano mema na CHAUMA,NLD,TADEA na TLP

Mto wa Mbu
Kwa Sasa Nanja- Monduli
 
So mnaridhiana wenyewe kwa wenyewe au sio
 
Kwanza niwaambie tu maridhiano yatakuwa kiini macho hakuna mwenye Nia ya kweli kuleta katiba mpya chini ya Rostam na Kikwete
 
Uchaguzi wa ccm na vyama washirika viso hata na ofisi??
 
Huu ni ushauri kwa Rais Samia. Nimeona wewe na Nchimbi mnahaidi kuunda tume ya maridhiano ndani ya siku 100 mkichaguliwa.

Naomba nitoe ushauri kwa Rais Samia. Tunaomba CCM ilidhiane na vyama vilivyoshiriki uchaguzi kama CHAUMMA, NLD,NCCR, CUF na vingine.

Mama husilidhiane na Chadema Kwa sababu zifuatazo.

1. Mwenyekiti wa Chadema ni Muhaini.

2. Chadema wamesusia Uchaguzi.

3. Chadema wamefungiwa kufanya shughuli za kisiasa, Hawana Ruzuku na viongozi wao hawatambuliki na msajiri.

Hivyo basi mama ukishashinda ridhiana na CHAUMMA ya Salum Mwalimu.

Na nyie Chadema mkiitwa Kwa maridhiano msiende maana hamtakiwi ndo maana serikali inawaumiza Kila siku.

CCM nawatakia maridhiano mema na CHAUMA,NLD,TADEA na TLP

Mto wa Mbu
Kwa Sasa Nanja- Monduli
hivi mnaridhiana mara ngapi nyie maCCM na mivyama yenu mliyoipakata?
 
Maku wewe
 
Kwamba unaanzisha ugomvi sasa kwa ahadi ya kufanya maridhiano baadae? Mnataka maridhiano ya nini wakati mnasema mnachokifanya mnakifanya kwa Mujibu wa sheria na Katiba na hamvunji Haki za Binadamu? Kwa nini msiridhiane sasa kabla ya kwenda kwenye uchaguzi kama kweli mnaamini ipo haja ya taifa Kuridhiana? Inshort, hakuna mwenye akili anayeamini huo uongo wenu unaoenda kwa jina la maridhiano. Huo ni utapeli kama Utapeli mwingine.
 
Sawa endeleeni lakini NRNE ndiyo mpango wa Taifa!
Screenshot_20250905-080730~2.png
 
Huu ni ushauri kwa Rais Samia. Nimeona wewe na Nchimbi mnahaidi kuunda tume ya maridhiano ndani ya siku 100 mkichaguliwa.

Naomba nitoe ushauri kwa Rais Samia. Tunaomba CCM ilidhiane na vyama vilivyoshiriki uchaguzi kama CHAUMMA, NLD,NCCR, CUF na vingine.

Mama husilidhiane na Chadema Kwa sababu zifuatazo.

1. Mwenyekiti wa Chadema ni Muhaini.

2. Chadema wamesusia Uchaguzi.

3. Chadema wamefungiwa kufanya shughuli za kisiasa, Hawana Ruzuku na viongozi wao hawatambuliki na msajiri.

Hivyo basi mama ukishashinda ridhiana na CHAUMMA ya Salum Mwalimu.

Na nyie Chadema mkiitwa Kwa maridhiano msiende maana hamtakiwi ndo maana serikali inawaumiza Kila siku.

CCM nawatakia maridhiano mema na CHAUMA,NLD,TADEA na TLP

Mto wa Mbu
Kwa Sasa Nanja- Monduli
Tafuta maana ya maridhiano ni nini..
 
Kwamba unaanzisha ugomvi sasa kwa ahadi ya kufanya maridhiano baadae? Mnataka maridhiano ya nini wakati mnasema mnachokifanya mnakifanya kwa Mujibu wa sheria na Katiba na hamvunji Haki za Binadamu? Kwa nini msiridhiane sasa kabla ya kwenda kwenye uchaguzi kama kweli mnaamini ipo haja ya taifa Kuridhiana? Inshort, hakuna mwenye akili anayeamini huo uongo wenu unaoenda kwa jina la maridhiano. Huo ni utapeli kama Utapeli mwingine.
Hakuna maridhiano baada ya kupigwa na nyundo kichwani au na kitu chenye incha Kali
 
Kwa akili za maccm wanaweza kweli kurudhiana na Chauma .Uchaguzi huu ni case study tosha,tusisue mjadala watatuacha hawa
 
Huu ni ushauri kwa Rais Samia. Nimeona wewe na Nchimbi mnahaidi kuunda tume ya maridhiano ndani ya siku 100 mkichaguliwa.

Naomba nitoe ushauri kwa Rais Samia. Tunaomba CCM ilidhiane na vyama vilivyoshiriki uchaguzi kama CHAUMMA, NLD,NCCR, CUF na vingine.

Mama husilidhiane na Chadema Kwa sababu zifuatazo.

1. Mwenyekiti wa Chadema ni Muhaini.

2. Chadema wamesusia Uchaguzi.

3. Chadema wamefungiwa kufanya shughuli za kisiasa, Hawana Ruzuku na viongozi wao hawatambuliki na msajiri.

Hivyo basi mama ukishashinda ridhiana na CHAUMMA ya Salum Mwalimu.

Na nyie Chadema mkiitwa Kwa maridhiano msiende maana hamtakiwi ndo maana serikali inawaumiza Kila siku.

CCM nawatakia maridhiano mema na CHAUMA,NLD,TADEA na TLP

Mto wa Mbu
Kwa Sasa Nanja- Monduli
Qumamayo
 
Kweli kwa namna hii itabidi iwe hivyo.
 
Crap
 
Shida ya huyo kachanganya na unaa kwenye mambo yenye maslahi kwa taifa.
 
Back
Top Bottom