Ushauri kwa Rais Samia jinsi ya kuweka mambo sawa nchini

Mama, CCM imekuharibu huenda ulikuwa mwema sana .

Majizi kila siku na kabla kazi nikukutengenezea hofu, hofu ambayo imevuruga Taswira yako na nchi , wahauni hawa na wenda wana jambo lao na umejaa kwenye mfumo wao bila kujua , 29 Dec sio ya kitoto na imewafanya watanzania sasa kuwa majasiri kuliko jana.

Nikuombe achana na ushauri wa watu wajinga kama Wasira ,kwani mpaka ulipo hapo una miaka 100 mbele ya kuishi duniani?

Hizi kesi uchwara za Kigaidi zinakusaidia nini? Kama sio kuaribu kabisa , je tunajua madhara yake kwa nchi ,je ni kweli huwa unajua ujinga huu na kuukubali?

Nikushauri
1. Piga chini wakuu wa mikoa yote then anza pitia faili moja baada ya lingine mwenyewe sio litewa mkeka mezani

2. Anza upya kupitia kila cv ya wakurugenzi mwenyewe kila taasisi ya serikali

3. Kaa vizuri na Chimbi wenda mbele akafaa sana

4. Wazee wote wajinga kama Wasira piga chini.

5. Vunja bunge na itisha uchaguzi mpya ikiwemo serikali za mtaa .

6. Piga marufuku kubambikia watu kesi za ugaidi .

Futa kesi ya Lissu, na viongozi wa chama chao

7. Unda CCM mpya ya ushindani

Nimemaliza
Thanks
Wamjua chura kiziwi weye???
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Julai 29, 2026 ameongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Zanzibar.
 
Back
Top Bottom