Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,382
- 49,575
Mbona umepaniki ? Mara Mafala mara Mbwa ? Jenga hoja Mkuu. Inakuwaje Shehe Mwaipopo anaonyesha kikundi cha vijana wamejifunika nyuso na hachukuliwi hatua yoyote ? Au ndio uhuru wa Tanzania una viwango na madaraja kwa baadhi ya watu ?Nyie mafala hata uhuru wenu wa kuropoka ni mpango wa watu
Kiongozi haongozi watu kwa kanuni ni dhamira tu
Nyie Mbwa hamjui nguvu ya mamlaka
Na habari ya mhadhiri wa UDOM unaielewa vizuri ?
Muwe mnafikiri kwa kina sio kujiandikia tu. Mleta uzi kashauri bila hata kutukana lakini wewe mshauri umeshàita majina Mbwa na Fala.