Naomba kichwa cha habari kirudi, mimi hapa sijamshauri rais na bali nimetoa ushauri kama mama yangu mzazi sasa ya mh rais yanatoka wapi?Mkuu imekaa vyema tu maana hujatukana mtu
HAKUNA UPUMBAVU KAMA KUPOTEZA MUDA WAKO KUSHAURI MPUMBAVU HASA MPUMBAVU MWENYE UANITHI WA AKILIMama, CCM imekuaribu wenda ulikuwa mwema sana .
Majizi kila siku na kabla kazi nikukutengenezea hofu, hofu ambayo imevuruga Taswira yako na nchi , wahauni hawa na wenda wana jambo lao na umejaa kwenye mfumo wao bila kujua , 29 Dec sio ya kitoto na imewafanya watanzania sasa kuwa majasiri kuliko jana.
Nikuombe achana na ushauri wa watu wajinga kama Wasira ,kwani mpaka ulipo hapo una miaka 100 mbele ya kuishi duniani?
Hizi kesi uchwara za Kigaidi zinakusaidia nini? Kama sio kuaribu kabisa , je tunajua madhara yake kwa nchi ,je ni kweli huwa unajua ujinga huu na kuukubali?
Nikushauri
1. Piga chini wakuu wa mikoa yote then anza pitia faili moja baada ya lingine mwenyewe sio litewa mkeka mezani
2. Anza upya kupitia kila cv ya wakurugenzi mwenyewe kila taasisi ya serikali
3. Kaa vizuri na Chimbi wenda mbele akafaa sana
4. Wazee wote wajinga kama Wasira piga chini.
5. Vunja bunge na itisha uchaguzi mpya ikiwemo serikali za mtaa .
6. Piga marufuku kubambikia watu kesi za ugaidi .
Futa kesi ya Lissu, na viongozi wa chama chao
7. Unda CCM mpya ya ushindani
Nimemaliza
Thanks
Huu ndo ujinga walitesa Taifa, kama Rais na watu wake USA wanaweza chakata mawazo mbalimbali yanayo lenga kujenga why tz , sie ni wajinga basi tena wakutupaWazo kwamba wewe unafikiri unaweza kumshauri Samia, tena kwa kupitia JF, linachekesha na kusikitisha kwa wakati mmoja.
Tatizo la Samia si kupata ushauri, anapata ushauri wa kila aina.
Tatizo hana political will, hana nia, hajali.
Na hili ni jambo ambalo huwezi kushauri.
Badala ya kumshauri ajing'oe yeye madarakani,unamshauri awang'oe wengine halafu yeye abaki.Mama, CCM imekuaribu wenda ulikuwa mwema sana .
Majizi kila siku na kabla kazi nikukutengenezea hofu, hofu ambayo imevuruga Taswira yako na nchi , wahauni hawa na wenda wana jambo lao na umejaa kwenye mfumo wao bila kujua , 29 Dec sio ya kitoto na imewafanya watanzania sasa kuwa majasiri kuliko jana.
Nikuombe achana na ushauri wa watu wajinga kama Wasira ,kwani mpaka ulipo hapo una miaka 100 mbele ya kuishi duniani?
Hizi kesi uchwara za Kigaidi zinakusaidia nini? Kama sio kuaribu kabisa , je tunajua madhara yake kwa nchi ,je ni kweli huwa unajua ujinga huu na kuukubali?
Nikushauri
1. Piga chini wakuu wa mikoa yote then anza pitia faili moja baada ya lingine mwenyewe sio litewa mkeka mezani
2. Anza upya kupitia kila cv ya wakurugenzi mwenyewe kila taasisi ya serikali
3. Kaa vizuri na Chimbi wenda mbele akafaa sana
4. Wazee wote wajinga kama Wasira piga chini.
5. Vunja bunge na itisha uchaguzi mpya ikiwemo serikali za mtaa .
6. Piga marufuku kubambikia watu kesi za ugaidi .
Futa kesi ya Lissu, na viongozi wa chama chao
7. Unda CCM mpya ya ushindani
Nimemaliza
Thanks
Leo nimetoa ushauri kwa mtu kama mama yangu sio RaisHAKUNA UPUMBAVU KAMA KUPOTEZA MUDA WAKO KUSHAURI MPUMBAVU HASA MPUMBAVU MWENYE UANITHI WA AKILI
ACHA kuwa mpumbavu, wewe huna mama? Mama, mama, mama upuuzi mtupuNomba leo mkuu tupst kwa staa kidogo , maana nimesema naongea naye kama mama sio kwa cheo chochote , mods wakabadilisha sijui kwa manufaa ya nani
Anaweza akamuelewa ila kukubaliana na ushauri wake kwa hali ilipofikia ni Ndoto!hawezi kukuelewa. Hawezi.
Ongeza sauti MkuuWazo kwamba wewe unafikiri unaweza kumshauri Samia, tena kwa kupitia JF, linachekesha na kusikitisha kwa wakati mmoja.
Tatizo la Samia si kupata ushauri, anapata ushauri wa kila aina.
Tatizo hana political will, hana nia, hajali.
Na hili ni jambo ambalo huwezi kushauri.
Jf kabla ya uchaguzi thread moja unakuta inawachangiaji 1000 na waliosoma 7000 saiv idadi imeporomoka sababu ya mambo kama hayaa.Kichwa cha andiko langu ni
Leo acha niongee na samia kama mama na sio cheo chochote .
Sasa haya mh rais na blabla yanatoka wapi ? Kwenu mods , rais ni cheo so kama ni cheo kwa nini niongee na cheo ili hali nimesema naongea naye kama mama? Rudisha kichwa cha mada hamtaki futa hii post
Mambo ya uanaharakati na ugaidi kasema yeye kwa hio ni vitu anafanya yeye wala sio hao akina wasirahawezi kukuelewa. Hawezi.
Sawa tuseme nyengine ni yakupangwaMamlaka? ๐คฃ๐คฃ
Mamlala labda ya matakoni mwako
Mamlaka ya nyoko๐คฃ๐คฃSawa tuseme nyengine ni yakupangwa
We babu yako ana legacy yeyote kubwa unayokumbuka zaidi ya umalaya.!
Kebo lakoMamlaka ya nyoko๐คฃ๐คฃ
ukilielewa jambo linataka nini kwa manufaa gani na usipolitekeleza, tunakuhesabu kuwa HUJAELEWA!!!Anaweza akamuelewa ila kukubaliana na ushauri wake kwa hali ilipofikia ni Ndoto!
hawajapewa madaraka, waliyatwaa kwa mitutuUshauri mzuri sana kuanza mwanzo si ujinga... Kuna mapumbavu yamepewa madaraka yanaangamiza nchi
Huo uwezo hana.Mama, CCM imekuaribu wenda ulikuwa mwema sana .