NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,525
- 17,434
Mama yangu, kuliko kuboresha elimu mbovu, mbaya, iliopitwa na wakati, isioajirisha, mzigo kwa taifa!
Ni bora fedha zingetumika kuandaa mtaala mpya kabisa ambao ungesaidia vijana kujiajiri!elimu yenye vitendo zaidi kuliko huu upumbavu na ujinga wa kukariri unaohalalishwa na utaahira unaoitwa mitihani ya taifa inayosimamiwa taasisi isiyo na ubunifu iitwayo NECTA.
Naomba uvute picha siku hao mnaowaita wasomi wa elimu hii duni watakapochoka huko mtaani na wakapata kiongozi mwenye nia ovu na Tanzania si watamuunga mkono? Je, si mtapiga risasi watu na zitaisha? Je, nini kitafuata? Zaidi ya kupoteza maslahi yenu mliojilundikia tangu mkiwa wadogo?
Kujenga madarasa ni kuimarisha elimu ya kijinga ambayo itakuja kuwatoa madarakani siku moja!!Hamuwezi kuupaka ujinga rangi kwa kutumia fedha za Covid19.
Kama kuna chawa wake humu! Aende kumweleza kuwa kuna mtu katukana elimu yetu huku aje asome aelewe mambo.
Kila la heri wasomaji