USHAURI kwa Msajili wa vyama vya siasa, Jaji Mutungi.

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Kama mpaka sasa wewe ndiye ulimbatiza jina Pro Lipumba anajulikana kama "Mwenyekiti anayetambuliwa na Msajili wa vyama vya siasa". Wala sio Mwenyekiti wa CUF! Vyombo vyote vya habari vinaandika kua Mwenyekiti unayemtambua wewe. Una maslahi gani nae mpaka umtambue wewe? We ni Mahakama?

Sasa kwakua kesi iko Mahakamani, na siku Mahakama ikakataa kumtambua basi wewe uondoke nae kwakua unamtambua wewe! Yaani ni Mwenyekiti wako kama anavyotambulika.
 
..

Sasa ulitaka Msajili wa vyama vya siasa asitambue viongozi wa vyama vya siasa? Hiyo ni kazi yake, hata wewe anaweza kukutambua -anzisha chama chako cha siasa, kikishapata usajili atakutambua tu.
 
Msajili kala pesa ya wizi walitokwapua na Lipumba kwenye A/c ya CUF kule Temeke, yupo kwa Lipumba kwa maslahi yake binafsi wanakula pesa za CCM pesa za CUF kwa njia Haramu.
 
Mkuu, hebu nihakikishie hili, maana nalisikia kwako
 
Back
Top Bottom