Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,372
- 1,207
Japo sijachelewa sana na wala pia sijawahi lakini ushauri huu wanaweza wakauchukua na kuutumia hata wakati ujao, kwa maoni yangu ya kuongeza ubunifu zaidi na mbwembwe na muonekano murua kabisa wa social network hii pendwa kabisa ya magreat thinkers minilikua naona kwa hadhi ilivyo ya kombe la dunia ni bora ingeanzishwa jukwaa lake peke yake na mahususi kabsa kwaajili ya kupost thread zinazohusiana na kombe la dunia.
Kwa nyakati kama hizi wanamichezo wengi wanamengi ya kuzungumza kuhusiana na michuona hii mikubwa duniani hivyo kuweka jukwaa kuhusu kombe la dunia ingependeza zaid na inaipa hadhi yake michuano hii.
Nmeona moderators wameweka sticky note kuhusu post za kombe la dunia hiyo ni sawa lakini kuweka jukwaa kungesaidia zaid kuibuka kwa topic mbali mbali hivyo nakupunguza mlundikano wa mapost meengi kwenye sticky note moja ambayo kwa ambao tunatumia simu inakuwa ni vigumu kupata baadi ya page.
Mfano mzuri kama walivyofanya facebook wao wameweka menu ya kombe la dunia 'worldcup trend' ambayo inakusanya post za watumiaji mbali mbali wa fb kuhusu world cup hivyo si vibaya nasi tukafanya ubunifu wetu kivyetu vyetu.
Ni hayo tu wakuu!!