X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,737
- 14,903
Yaani huna mda hata wasalamu?, sisi wa Africa salamu ni Bora kuliko chochoteKunA tabia Mimi binafsi niseme tu ina KERA sana. Mtu humjui akujui anakutumia kimeseji "mambo mkuu" ujumbe kama huo una KERA sana.
Kwa kifupi ndugu zangu tunaotafuta fursa tujitahidi sana kuwa straight to the point. Unahitaji msaada wowote kwa yeyote jitahidi uende straight kwenye point KunA watu haWana muda wa kuchat chat ila ukihitaji helping hands kwao unapata.
Mfano umeona andiko langu la Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE
Ukinifuata inbox njoo directly to the point jukumu la kukusaidia au lah nitabaki nalo Mimi...
Ila ukiniandikia ujumbe "mambo" nahisi kama una ni dharau au haupo makini ama hujali muda.
Tujitahidi sana kujari muda na kuheshimiana dhamani fursa kuzipata ilikuwa ni ngumu sana. Ila siku hizi fursa zinakufuata popote ulipo.
Mfano wa ujumbe wa mtu mwenye kujielewa
"Samahani mkuu nimeona andiko lako juu ya ajira ughaibuni Mimi ni kijana ninae tafuta fursa sehemu mbali mbali ulimwenguni....kama huto jali ninaomba mawasiliano Yako nje ya JAMIIFORUMS Ili ujue jinsi gani unaweza kunisaidia...namba zangu za simu ni 07xxxxxxx naomba unitafute mkuu."
Ila mtu anakuja PM anakuchatisha kama anakujua vile[emoji24][emoji24][emoji24]
Nimeona niwashauri maana mnaweza kupoteza fursa kwa kushindwa kujieleza.
Ni hitimishe kwa kusema kimeseji Cha "MAMBO" kina KERA sana tujitahidi kwenda straight to the point....[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Salamu yako iungane na shida yako. Tofautisha mazungumzo ya mdomo na ya maandishi.Yaani huna mda hata wasalamu?, sisi wa Africa salamu ni Bora kuliko chochote
Yaani mitaa yetu ukijichanganya kutaka msaada bila salamu huenda ukasidiwa sicho.
Lazima uanze kuwajulia hali ndo ueleze shida Yako.
Kwamba wewe uko busy mpaka unaona salamu kwako inachelewesha mda?
Chief hapa umezingua, hiyo ni salamu tu kikwetu kwetu Africa huwez anza kumwambia mtu shida Yako bila kumsalimia na salamu ziko nyingi hiyo ya MAMBO ni mojawapo,KunA tabia Mimi binafsi niseme tu ina KERA sana. Mtu humjui akujui anakutumia kimeseji "mambo mkuu" ujumbe kama huo una KERA sana.
Kwa kifupi ndugu zangu tunaotafuta fursa tujitahidi sana kuwa straight to the point. Unahitaji msaada wowote kwa yeyote jitahidi uende straight kwenye point KunA watu haWana muda wa kuchat chat ila ukihitaji helping hands kwao unapata.
Mfano umeona andiko langu la Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE
Ukinifuata inbox njoo directly to the point jukumu la kukusaidia au lah nitabaki nalo Mimi...
Ila ukiniandikia ujumbe "mambo" nahisi kama una ni dharau au haupo makini ama hujali muda.
Tujitahidi sana kujari muda na kuheshimiana dhamani fursa kuzipata ilikuwa ni ngumu sana. Ila siku hizi fursa zinakufuata popote ulipo.
Mfano wa ujumbe wa mtu mwenye kujielewa
"Samahani mkuu nimeona andiko lako juu ya ajira ughaibuni Mimi ni kijana ninae tafuta fursa sehemu mbali mbali ulimwenguni....kama huto jali ninaomba mawasiliano Yako nje ya JAMIIFORUMS Ili ujue jinsi gani unaweza kunisaidia...namba zangu za simu ni 07xxxxxxx naomba unitafute mkuu."
Ila mtu anakuja PM anakuchatisha kama anakujua vileπππ
Nimeona niwashauri maana mnaweza kupoteza fursa kwa kushindwa kujieleza.
Ni hitimishe kwa kusema kimeseji Cha "MAMBO" kina KERA sana tujitahidi kwenda straight to the point....ππππ
Sio lazima kuunganisha salamu na shida, Anza salamu kwanza.. maana pia muitikio wa salamu unaweza kukupa ishara kuwa uendelee kueleza shida yako au laa.Salamu yako iungane na shida yako. Tofautisha mazungumzo ya mdomo na ya maandishi.
Hapana, hajakataza salamu, bali salamu iambatane na lengo hasa la wewe/yeye kumfuata inbox, direct to the point. Vyote viende pamoja.Yaani huna mda hata wasalamu?, sisi wa Africa salamu ni Bora kuliko chochote
Hili nalo mkalitazameSio lazima kuunganisha salamu na shida, Anza salamu kwanza.. maana pia muitikio wa salamu unaweza kukupa ishara kuwa uendelee kueleza shida yako au laa.
Salamu yako iungane na shida yako. Tofautisha mazungumzo ya mdomo na ya maandishi.
Blacks wanapenda mno salamu. Wanajua kuwa zile internal pains will be healed by your greetings. Binafsi sipendi Sana salamu. Yaani ninaweza kukusaidia pasipo kunisalimia. Salamu Ni sawa na kumnunua mtu yaani unamlainisha moyo wake ili awe willing kufanya Jambo kwa payback. Ni sawa na ahsante Ni malipo pia. Smt inabidi tuwe very strong mentally and emotionally kufanya Jambo bila mtu ku trigger our emotions.
Yaani nimemsadia hata hajanishukuru so wewe Ni sawa unadai malipo. Yaani unataka moyo wako Ile willingness or kindness yako inunuliwe. Yaani nasalimia Ila unakuta najifosi mno Mana I know human emotions wanataka ama zinatakaje
Hapana, hajakataza salamu, bali salamu iambatane na lengo hasa la wewe/yeye kumfuata inbox, direct to the point. Vyote viende pamoja.
Sio lazima kuunganisha salamu na shida, Anza salamu kwanza.. maana pia muitikio wa salamu unaweza kukupa ishara kuwa uendelee kueleza shida yako au laa.
Chief hapa umezingua, hiyo ni salamu tu kikwetu kwetu Africa huwez anza kumwambia mtu shida Yako bila kumsalimia na salamu ziko nyingi hiyo ya MAMBO ni mojawapo,
Kuna siku nilikuwa napita uswahilini nikafika sehemu nikakuta watu wamekaa sikuwasalimia nikanyoosha kufika mbele nikapotea njia huendi mbele kulia Wala kushoto isipokuwa urudi nyuma nilivyorudi nyuma ikabidi niwaulize wale wananchi niliowapita bila salamu wakaniambia siku nyingine ukipita jaribu kusalimia watu wakanielekeza njia kauchochoro kadogo sana unapita ubavu ubavu ila mbele ndio Kuna njia kubwa daah nilijisikia vibaya sana kwa nilichowafanyia toka siku hiyo siwez pita sehemu bila kutoa HI!
Kwan lazima umjibu?Hujanielewa mkuu...unajua now a days mambo yamekuwa mengi na muda ni mchache sana.
Salamu haina umuhimu mtu anaweza asiijibu...hapo huyo kuwa na Cha kumlaumu ila ukienda straight to the point. Juu ya shida iliyo kufanya umtafute. Asipo kujibu unaweza kumlaumu na watu wakakuelewa.
Haya mtu anakuandikia kimeseji "mambo mkuu"
Unamjibuje mtu kama huyo...?
Tujifunze kuwa straight salamu inapoteza muda sana.
Mkuu wewe ni mimi. Mm nafanya biashara mtu anakuja inbox anaanza salamu nyiongii. Njoo inbox umenyooka unataka nini?Kuna tabia mimi binafsi niseme tu ina kera sana. Mtu humjui akujui anakutumia kimeseji "Mambo mkuu" ujumbe kama huo una kera sana.
Kwa kifupi ndugu zangu tunaotafuta fursa tujitahidi sana kuwa straight to the point. Unahitaji msaada wowote kwa yeyote jitahidi uende straight kwenye point kuna watu hawana muda wa kuchat chat ila ukihitaji helping hands kwao unapata.
Mfano umeona andiko langu la Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE
Ukinifuata inbox njoo directly to the point jukumu la kukusaidia au lah nitabaki nalo mimi...
Ila ukiniandikia ujumbe "Mambo" nahisi kama una ni dharau au haupo makini ama hujali muda.
Tujitahidi sana kujari muda na kuheshimiana dhamani fursa kuzipata ilikuwa ni ngumu sana. Ila siku hizi fursa zinakufuata popote ulipo.
Mfano wa ujumbe wa mtu mwenye kujielewa
"Samahani mkuu nimeona andiko lako juu ya ajira ughaibuni mimi ni kijana ninae tafuta fursa sehemu mbali mbali ulimwenguni....Kama huto jali ninaomba mawasiliano yako nje ya jamiiforums ili ujue jinsi gani unaweza kunisaidia...Namba zangu za simu ni 07xxxxxxx naomba unitafute mkuu."
Ila mtu anakuja pm anakuchatisha kama anakujua vileπππ
Nimeona niwashauri maana mnaweza kupoteza fursa kwa kushindwa kujieleza.
Ni hitimishe kwa kusema kimeseji cha "Mambo" kina kera sana tujitahidi kwkuu weenda straight to the point....ππππ
Aisee tuna mitazamo tofauti sana, yaani kumsalimia mtu ni kumlainisha ili asaidiwe??Blacks wanapenda mno salamu. Wanajua kuwa zile internal pains will be healed by your greetings. Binafsi sipendi Sana salamu. Yaani ninaweza kukusaidia pasipo kunisalimia. Salamu Ni sawa na kumnunua mtu yaani unamlainisha moyo wake ili awe willing kufanya Jambo kwa payback. Ni sawa na ahsante Ni malipo pia. Smt inabidi tuwe very strong mentally and emotionally kufanya Jambo bila mtu ku trigger our emotions.