Pandisha Heshma Yako Hapa Jamiiforums.com
Huyo Mmiliki Ajiunge Humu Akafanye Marekebisho Haraka
Vp Analipa Kodi
Mmiliki ni Mbunge wa Busega Rafael Chegeni. Sasa wewe mleta uzi hicho nacho nicha kufika!!!Mtaje tu huyo mmiliki ili tumfikishie ujumbe. Kwani sianaimiliki kihalali!
kama ni chegen hawezi kumsaidia kwa haraka maana nimeskia wamekamatwa Mbeya yeye na MashaMmiliki ni Mbunge wa Busega Rafael Chegeni. Sasa wewe mleta uzi hicho nacho nicha kufika!!!
Acha kuharibu umaana wa siri. Eti jina ulikuwa nalo kapuni!!!! 😡😡😡😡
huyo si ndiye ambaye kakamatwa huko mbeya/iringa kwa dhuluma yMmiliki ni Mbunge wa Busega Rafael Chegeni. Sasa wewe mleta uzi hicho nacho nicha kufika!!!
Acha kuharibu umaana wa siri. Eti jina ulikuwa nalo kapuni!!!! 😡😡😡😡
Sasa si fursa hiyo kwa nini usingeenda kutafuta hilo generator ukalikodisha kwake au ukamuuzia kuliko kuja kumdisi huku ila anyway !!✌️✌️
Tatizo sio jenereta wala umeme kukatika mlizimiwa maksudi muda wa shughuli ulikuwa umekwisha, kuna vyumba pale watu wanataka kupumzika nyie mnapitapita na mashughuli yenuJana usiku tulikuwa kwenye sherehe ya Harusi pale Isamilo Lodge. Ilipofika muda wa saa tano na nusu ghafla umeme ukakatika. Nilitumaini kwa hadhi ya hoteli kama ile kungekuwa na jenereta ya tahadhari (standby generator) ili ratiba iendelee kama ilivyopangwa.
Baada ya kusubiri ili jenereta iwashwe lakini hata hivyo hakuna kilichofanyika. Ilibidi ratiba zilizobaki zivunjwe na wote kutoka ukumbini.
Nimeelezwa kuwa Mmiliki ya ile Lodge ni Mheshimiwa mmoja mkubwa katika Mkoa wa Mwanza. Hivi kweli logde kubwa kama ile inakosa jenereta?.
Tulikuwa na Mhe. Mbunge wa Magu na nilimueleza amfikishie ujumbe mmiliki wa lodge hiyo mapungufu yaliyoonekana ili ayarekebishe vinginevyo atakuja kukosa wateja siku za usoni.
😁 Usikrem maisha broo mjini ishi kwa akili mbili!!Ujasiriamali wa theory huu! wewe ni wa kuajiriwa tu kama unafikiri hii ni fursa!
😁 Usikrem maisha broo mjini ishi kwa akili mbili!!
Jana usiku tulikuwa kwenye sherehe ya Harusi pale Isamilo Lodge. Ilipofika muda wa saa tano na nusu ghafla umeme ukakatika. Nilitumaini kwa hadhi ya hoteli kama ile kungekuwa na jenereta ya tahadhari (standby generator) ili ratiba iendelee kama ilivyopangwa.
Baada ya kusubiri ili jenereta iwashwe lakini hata hivyo hakuna kilichofanyika. Ilibidi ratiba zilizobaki zivunjwe na wote kutoka ukumbini.
Nimeelezwa kuwa Mmiliki ya ile Lodge ni Mheshimiwa mmoja mkubwa katika Mkoa wa Mwanza. Hivi kweli logde kubwa kama ile inakosa jenereta?.
Tulikuwa na Mhe. Mbunge wa Magu na nilimueleza amfikishie ujumbe mmiliki wa lodge hiyo mapungufu yaliyoonekana ili ayarekebishe vinginevyo atakuja kukosa wateja siku za usoni.
Huwezi kuwa na lodge kama ile bila kuwa na tahadhari ya jenereta. Harusi yenyewe ilikuwa harusi isiyo na pombe. Kwa nchi za wenzetu kama tungeenda Mahakamani ingebidi atulipe. Kuhusu kipande cha barabara toka barabara ya lami kama mita mia hivi binafsi namuunga mkono aliyemshauri kuwa aitengeneze. Kwa kweli ni kero kubwa unapopandisha kwenda kwenye lodge yake.
Huyo jamaa mwenyewe ana majanga balaa,hapa katikati baraza la mazingira lilimpiga fine ya 20mil pale hotelini kwake,sasa hivi kapigwa ndani yeye na Masha.Hili la barabara watu walishaongea hadi wakanyamaza na yeye amenyamaza tu, gari ndogo zinapata shida sana kufika hotelini kwake