Ushauri kwa Mh. G. LEMA(Mb), Nenda katoe sadaka ya shukrani kabla ya 2014.

Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
894
195
Ndugu zangu, hakika ni huzuni na masikitiko makubwa juu ya mh Lema mbunge wa Arusha Mjini kutokana na milima na mabonde aliyoyapitia tokea tarehe kama ya leo mwaka jana. Mbunge huyu amekuwa akiandamwa na maadui bila kikomo lakini hakika Mungu aliye hai amesimama juu yake ktk majaribu yote aliyoyapitia, hakuna siku Lema ameumia wala kupata jeraha lolote kutoka kwa maadui bali Mungu amekuwa akimuwekea kinga kuu kabla ya maadui kuinuka. Kutokana na hayo yote Mh Lema huna budi kutoa sadaka NONO mbele za Mungu kwa jinsi alivokuwezesha kwa kiwango hicho!
 

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,519
2,000
Kwa hiyo yale ya mini kabang hayakumletea majeraha? Au ni mzoefu?
 

notradamme

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
2,012
1,195
mungu wenu anachekesha sana, yani yuko upande mmoja na JAMBAZI??? simuhitaji mungu wenu
 

victor shio

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
651
0
Kweli umenena mtu wa mungu kiukweli Alimlinda kwambawa zake mpaka wale wabaya wake wanaomba suluhu
 

Meela

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,432
2,000
mungu wenu anachekesha sana, yani yuko upande mmoja na JAMBAZI??? simuhitaji mungu wenu

Hivi Lema naye kajiunga na mungu wa kina al Shabab na al Qaida???? Kwa sababu wafuasi wake ndio majambazi na wauaji wa kutisha?
 

scathbert

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
224
0
`neon la bwana katika kitabu cha kutoka 23:22-23 Linasema" Lakini ukiisikiza sauti yake kweli na kuyatenda yote ninenayo mimi,ndipo mimi nitakuwa ni ADUI wa ADUI zako na mtesi wa hao wakutesao,23 kwa kuwa malaika wangu atatangulia mbele yako na kukufikisha kwenye mwamori na mhiti na mperizi na mkanaani na mhivi na myebusi nami NITAWAKATALIA MBALI.SEMA AMEN.
 

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,495
2,000
Unajuaje kama hajatoa!? au akitoa au kama ameshatoa aje atangaze hapa.!??
 

Mandown

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
1,669
1,500
Ukapimwe akili..! Huyu mheshimiwa huko arusha badala ya kupambana kuwaletea wananch wake maendeleo, hakuna kitu ni mipadho tu kwenye vombo vya habari
 

Vitaimana

JF-Expert Member
Nov 2, 2013
3,542
2,000
mungu wenu anachekesha sana, yani yuko upande mmoja na JAMBAZI??? simuhitaji mungu wenu

we kilaza tema mate chini x3. Unamuongelea hivyo Muumba wako? Anayekulinda kila siku, unamkosea mara ngapi anakusamehe? Huoni kuna watu wanapata shida? Wanaumwa, wanakufa kwa ajali wewe leo kakupa uhai halafu unamnenea mabaya? Hakika atakupiga kofi labda kuwe hakuna Mungu.
 

KAURANANGA

Member
Apr 13, 2011
21
0
Shukrani ni siri ya mtu kumtolea Mungu, unajuaje kama alishatoa? au mpaka atangaze kwamba ametoa shukrani? hata kama aliwaona yatima, wajane, walemavu na wagonjwa pia ni sehemu ya shukrani yake sio lazma kila mtu aijue.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom