Ushauri kwa member anayeitwa Perry

Hilo swali ulilo uliza mwenye jibu ni Perry.

Sijui kama walimfuata jamaa kuhusu hatma na dada yake. Nimeuliza kwenye uzi hajajibu.

Sioni kama ni dalili za kiburi maana mwanamke kaeleza sababu za kuondoka ambazo kaka mtu kaziona za kawaida...jibu nalopata huyu mwanamke hana mtetezi yeyote.


Nadhani kuna tofauti ya kukaa kimya na kununa labda niambiwe kama ni vitu viwili vyenye maana sawa...na Hawa wanunaji wanamidomo saana hasa wakijua mwanamke hana mtetezi.....
 
Mbona hata ww umewaita mods na kuwaambia wasifute mada
Kwasababu uzi wangu na nimeanzisha mimi!

Nadhani hawakukuskia waite tena na uwatag.
 
❤️
 
Kwasababu uzi wangu na nimeanzisha mimi!

Nadhani hawakukuskia waite tena na uwatag.
Na mm comment n yangu na nimeandika mm na huwezi kunipangia cha kuandika
 
Na mm comment n yangu na nimeandika mm na huwezi kunipangia cha kuandika
Nani kakupangia?
Niliandika hivi..
Uzi ukifutwa ungetoa wapi platform murua kama hii niliyokuanzishia ya kuwaita mods waje wafute uzi uliokupa nafasi murua.

Sipangii watu cha kuandika nisichofanya ni kuita viranja ili wafute yalioandikwa na watu wengine.... btn me and you .....nani anacontrol mawazo ya mwenzake?

Wewe unataka mawazo yangu yafutwe wakati mimi nimekuanzishia sehemu ya kuweka mawazo yako...na haya mawazo yako unayoyaweka humu hayataki mawazo yangu yawepo humu.....

Labda nitumie English uelewe au lugha yako mama mkuu?
 
Sawa, tuma salamu kwa watu watatu
 
Mwanamke kama hajaolewa akazaa hata akipitia hayo yote inakuwa ni kazi bure ,usishangae mume akaenda kuoa mwanamke mwingine..Mwanamke amekuwa mjinga mwenyewe kulikuwa na haja gani ya kuzaa watoto wote hao bila ya ndoa..Atamkamata vip jamaa kwenye haki zake?
 
Mjinga zaidi ni mwanaume....

Wakati unatomba ulijua manii zinamwqgikia wapi?

Angekuwa mataifa mengine huyo child support ingemshukia kama mvua....
 
Bado sijaona jibu la swali....

Ukimwambia mtu afuate biashara zake wewe mwenyewe unatakiwa ufuate zako.

Next time usiandike kwenye uzi wa mtu "mind your business"

Acha nikuelimishe .....kuchangia kwenye uzi wa mtu mind your own business tayari inadhihirisha wewe haujamind your business.

Watu wanaomind their businesses hawakufungua huu uzi maana biashara zao zinawaweka busy.


Coming back to your so called "it's a public platform "

Yes, it's a public platform indeed and that's why I don't move my nose around telling people to mind their businesses while knowing they are on the public platform.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…