Sijui umetoka kwenye jamii gani ambayo ndugu wa mwanamke hawana uwezo huo.Hayanaga muongozo.
Unawapangiaje maisha wapenzi unajua makubaliano yao ya siri ambayo nyie wengine hamuyajui?
Mzazi wa Mke hana uwezo wa kumshurutisha aidha kutoa mahari, kuoa ama kuishi na mtoto wao ikiwa mwanaume mwenyewe hajaridhia na hayupo tayari kufanya hivyo ijekuwa wewe mtoto wa kiume kumpangia maisha dada yako.
Nafasi pekee waliyonayo ndugu na wazazi ni kushauri tu ila kuhusu kufanya maamuzi wahusika wakuu ni wapenzi wenyewe.
Kupangiana cha kufanya inawezekana kutokea kwa mwanaume ambaye hajitambui ama nguvu za ziada za miziziology zihusike hapo kati.
Asante kwa huu uzi. Kuna wanaume wa ajabu sana hapa jf.Kwanza nakulaumu saana kwa ujinga ulioufanya. Nimeangalia ID yako umejiunga JF 2011 ikimaniisha wewe ni mtu mzima. I'm disappointed of you.
Kosa mlililolifanya hasa wewe ni kutokusimama na dada yenu....haijalishi yeye ni mkubwa kwako lakini kiafrika mwanaume hasa wa age yako unatakiwa uwe mlinzi wa watoto na ndugu zako wa kuzaliwa.
Usingeruhusu dada yako aishi na mwanaume kwa miaka 8 na kumzalisha watoto watatu bila security yoyote...wapo watu watakaoargue kuhusu hili...Ila miaka 8 watotowatatu? Hakuna ndoa na hakuna dalili za kuhalalisha hii familia. Mlitakiwa mmu-appraoach huyo jamaa na kumwqmbia skia umeishi na dada yetu miaka ya kutosha hivyo tunaomba ufuate taratibu....msingekuwa hata na uhitaji wa mahari.
Wapo wanaume hasa watakaokuambia labda dada yako ana makosa na weaknesses kibao..huwenda hata watoto sio wa jamaa... nani alimforce huyu jamaa kuendelea kuwa naye hadi ana watoto watatu sasa. Akachukue DNA lakini before that akikataa kuhudumia watoto mpelekeni ustawi wa jamii pesa imtoke.
Narudia kusema mlimchekea saana.
Nijibu swali....umeniambia nimind my own business, right?Sio kwenye hizo scenario
Katika hii Afrika
1.Huwezi kumshauri Mwanamke aliyependa.
2. Mtu aliyepata pesa
Nimekuuliza swali; ukiwa wewe ndio kaka ukaenda kumshinikiza jamaa, halafu akakataa kuoa ungefanyaje?
Kitamaduni hakuna hadhi Wala heshima iwapo utang'ang'aniza dada yako kuolewa.
Umesema kweli mkuuHapo unakosea sana , nahisi haijawahi kutokea kwa upande wako ..Mwanamke hata kama dada yako anaweza kuishi na mwanaume hata wewe usimjue mpaka wazazi wenu..Ukijua akili ya mwanamke basi hautopata tabu ,90% wanawake hawaolewi kwa vile ni wajinga.
Mwanamke hajaolewa ila kashaziniwa vya kutosha kama sio uthenge wao ni nini? Mtu linazqa linaona liko sawa kabisa! Hapo ukimwambia utasikia '' Unapenda kuhukumu watu ''
Dada yangu mmoja , mtoto wa shangazi naye ni mthenge huyo .. Kazalishwa watoto wawili na yule mume wanahama kila mkoa hata kwao hajulikani...Yaani Wanawake ni wajinga sana ,wakiwa na msimamo basi watakuwa wanaolewa kila siku. Mumewe nilimuona fb anaonekana alishakuwa na ndoa huko nyumaa kwa vile ana Mtoto mkubwa zaidi ya hao wawili aliozaa na huyo sister...AkianA kupigwa basi kwisha maana ni thenge halina akili kabisa.
Huyo dada kazalishwa watoto wawili mume hajulikani kabisa hata kwao hajawahi kufika ,halafu ni thenge mume akiamishwa kikazi nalo linahama ...Kwao halifiki.U
Umesema kweli mkuu
Halafu mtoa mada anamlaumu kaka
It's public forumNijibu swali....umeniambia nimind my own business, right?
Wewe mbona hukumind your own business? Nilikuomba ushauri kwenye huu uzi? Nilidhani kwasababu unajua kumind your own business usingenishauri ungeacha niandike ninachojiskia kama ulivyotaka niachane na issue ya dada yake Perry.
Sahihi isifutwe iende Kwa muhusika (Iunganishwe).Umeona ukiandika kama comment hatoisoma so umeandika kama mada?
Mods Naomba muipeleke Hii Mada iwe kama comment huko kwenye uzi husika 😎
Hana kazi ya kufanya sure, mwanaume kabisa ukakomalie uzi wa mtu uutengenezee version kabisaa hata hujui kama ni stori tu au chai za JF, hakaf maisha ya familia za watu sijui mtu yanatoaje povu namna hii. Kama ni mwanaume, kwakwel inasikitishaHuenda mkuu huna kazi ya kufanya. Tafuta kitu cha kukuweka busy
Akili nyingi sana mtu wangu.Wapo watu huishi suria (mahusiano ya kindoa yasiyokuwa rasmi) hata miaka 10 then wanafunga ndoa maisha yanaenda wengine wanaachana,hiki kisa nilikisoma juu juu bila kukizingatia sana ila mdau alisema dada ndugu wengine walimshauri aachane na mume arudi kwenye nyumba ya familia na akakubali (dalili za kiburi) ilibidi amalizie alichokimaliza.may be huyo Perry alimfata shemejie kumuuliza hatma ya dada yake akawa anampa ahadi ya kufunga ndoa angefanyaje sasa,akamfunge?
Umesema mwanaume anamnuniaje mwanamke?sina experience nalo hili but nachohisi mimi chanzo hukianzisha mwanamke kwa kununa halafu mwanaume kuepusha ugomvi zaidi anaunga trailer kwa kukaa kimya sasa mwanamke alitegemea aombwe msamaha akiona jamaa kapiga kimya anapiga simu kwao mume kanuna ndiyo habari inakaa hivyo ukichukulia kesi ilipelekwa kwa ndugu lazima wavutie kwa dada yao.
Maisha ya kuishi na mwanamke anayehisi ana backup ya kutosha ya ndugu siyo ya masihara unaweza kukuta jamaa kaona afadhali alivyoondoka mwenyewe maana alishamuelemea.
Una uhakika huyo mwanao wa kike watu hawamchukui? Hizo taratibu zimeainishwa kwenye mwongozo upi? Ni takwa la kikatiba? Ni utaratibu ambao umeainishwa kwenye sheria ya ndoa?Sijui umetoka kwenye jamii gani ambayo ndugu wa mwanamke hawana uwezo huo.
Nipe mifano ya makabila ya Tanzania ambayo yanaruhusu mwanamke kuchukuliwa kinyumba.
Sidhani kama lipo....Ila haya yanatokea kwasababu aidha ndugu wa kike don't care about their child au mwanamke mwenyewe akaridhia.
Mwanao wa kike akichukuliwa kinyumba kiutaratibu haumwachi aende akaishi na mwanaume tu....lazima afuate taratibu. Kwanini taratibu lazima zifuatwe ...?
Kuepusha huu ujinga wa kupiga, kuzalisha mwanao kisha anatupiwa mzigo...
sana mkuu inasikitisha, tungeamua kutengenezea new threads zile nyuzi zako tungejaza server ushauri ingefaa uende kwenye uzi husika, ama PMHana kazi ya kufanya sure, mwanaume kabisa ukakomalie uzi wa mtu uutengenezee version kabisaa hata hujui kama ni stori tu au chai za JF, hakaf maisha ya familia za watu sijui mtu yanatoaje povu namna hii. Kama ni mwanaume, kwakwel inasikitisha
Ana hoja asikilizwe!Hana kazi ya kufanya sure, mwanaume kabisa ukakomalie uzi wa mtu uutengenezee version kabisaa hata hujui kama ni stori tu au chai za JF, hakaf maisha ya familia za watu sijui mtu yanatoaje povu namna hii. Kama ni mwanaume, kwakwel inasikitisha
Afadhali wewe upo tayari kujadili.Hapo unakosea sana , nahisi haijawahi kutokea kwa upande wako ..Mwanamke hata kama dada yako anaweza kuishi na mwanaume hata wewe usimjue mpaka wazazi wenu..Ukijua akili ya mwanamke basi hautopata tabu ,90% wanawake hawaolewi kwa vile ni wajinga.
Mwanamke hajaolewa ila kashaziniwa vya kutosha kama sio uthenge wao ni nini? Mtu linazqa linaona liko sawa kabisa! Hapo ukimwambia utasikia '' Unapenda kuhukumu watu ''
Dada yangu mmoja , mtoto wa shangazi naye ni mthenge huyo .. Kazalishwa watoto wawili na yule mume wanahama kila mkoa hata kwao hajulikani...Yaani Wanawake ni wajinga sana ,wakiwa na msimamo basi watakuwa wanaolewa kila siku. Mumewe nilimuona fb anaonekana alishakuwa na ndoa huko nyumaa kwa vile ana Mtoto mkubwa zaidi ya hao wawili aliozaa na huyo sister...AkianA kupigwa basi kwisha maana ni thenge halina akili kabisa.