nasikitika sana kwa hili 😀Umeona ukiandika kama comment hatoisoma so umeandika kama mada?
Mods Naomba muipeleke Hii Mada iwe kama comment huko kwenye uzi husika
siyo mwezi mzima Daby, mwanaume unanunaje..?? Hii tabia huwa inanishangaza mno..Na unaandika eti
1. Kupigwa mara moja
2. Kugombezwa mbele ya watoto na dada wa kazi
3. Kununiwa mwezi
Ni mambo ya kawaida?
Yanakuwaje mambo ya kawaida haya?? Unajua aibu ya kugombezwa mbele ya wanao...unajua trauma watakazokua nazo hao watoto.....na huyo dada wa kazi hatamheshimu huyo mama nakuhakikishia.
Kwanza mwanaume unamnuniaje mkeo mwezi mzima!! I don't get it at all
Hayanaga muongozo.Kwanza nakulaumu saana kwa ujinga ulioufanya. Nimeangalia ID yako umejiunga JF 2011 ikimaniisha wewe ni mtu mzima. I'm disappointed of you.
Kosa mlililolifanya hasa wewe ni kutokusimama na dada yenu....haijalishi yeye ni mkubwa kwako lakini kiafrika mwanaume hasa wa age yako unatakiwa uwe mlinzi wa watoto na ndugu zako wa kuzaliwa.
Usingeruhusu dada yako aishi na mwanaume kwa miaka 8 na kumzalisha watoto watatu bila security yoyote...wapo watu watakaoargue kuhusu hili...Ila miaka 8 watotowatatu? Hakuna ndoa na hakuna dalili za kuhalalisha hii familia. Mlitakiwa mmu-appraoach huyo jamaa na kumwqmbia skia umeishi na dada yetu miaka ya kutosha hivyo tunaomba ufuate taratibu....msingekuwa hata na uhitaji wa mahari.
Wapo wanaume hasa watakaokuambia labda dada yako ana makosa na weaknesses kibao..huwenda hata watoto sio wa jamaa... nani alimforce huyu jamaa kuendelea kuwa naye hadi ana watoto watatu sasa. Akachukue DNA lakini before that akikataa kuhudumia watoto mpelekeni ustawi wa jamii pesa imtoke.
Narudia kusema mlimchekea saana.
Jamaa ni kama ubongo umefungwa kitambaa cheusi.siyo mwezi mzima Daby, mwanaume unanunaje..?? Hii tabia huwa inanishangaza mno..
Nilichoka zaidi Perry alipoyaita hayo ni mambo madogo, yanayotokea ndani ya kuta nne ni magumu, mengi na yanayoumiza mno, hakuna kitu kinaumiza mwanamke kama kunyanyasika kwa mtu pekee ambaye alitegemea ndiyo awe faraja yake, niliwahi muambia mtu humu ndani na ninarudia, wanawake ni viumbe wavumilivu mno, ila mpaka kaamua kuondoka na watoto watatu huku hana mbele wala nyuma ujue maji yamezidi unga..🙌🙌
Mod futa uziiiKwanza nakulaumu saana kwa ujinga ulioufanya. Nimeangalia ID yako umejiunga JF 2011 ikimaniisha wewe ni mtu mzima. I'm disappointed of you.
Kosa mlililolifanya hasa wewe ni kutokusimama na dada yenu....haijalishi yeye ni mkubwa kwako lakini kiafrika mwanaume hasa wa age yako unatakiwa uwe mlinzi wa watoto na ndugu zako wa kuzaliwa.
Usingeruhusu dada yako aishi na mwanaume kwa miaka 8 na kumzalisha watoto watatu bila security yoyote...wapo watu watakaoargue kuhusu hili...Ila miaka 8 watotowatatu? Hakuna ndoa na hakuna dalili za kuhalalisha hii familia. Mlitakiwa mmu-appraoach huyo jamaa na kumwqmbia skia umeishi na dada yetu miaka ya kutosha hivyo tunaomba ufuate taratibu....msingekuwa hata na uhitaji wa mahari.
Wapo wanaume hasa watakaokuambia labda dada yako ana makosa na weaknesses kibao..huwenda hata watoto sio wa jamaa... nani alimforce huyu jamaa kuendelea kuwa naye hadi ana watoto watatu sasa. Akachukue DNA lakini before that akikataa kuhudumia watoto mpelekeni ustawi wa jamii pesa imtoke.
Narudia kusema mlimchekea saana.
But you didn't mind your own damn business...??? Did you?Mapenzi hayashauriwi
Jamaa angegoma kuoa hiyo familia ingefanya nini?
Nadhani mkuu Kuna ule msemo kutoka kwa waingereza Mind your own business ungekufaa zaidi
Sio kwenye hizo scenarioBut you didn't mind your own damn business...??? Did you?
Mapenzi yanashauriwa Mzee....ndiyo maana tukipatwa na madhila tunarudi kwa wazee kuomba ushauri. Ndoa nyingi zimeokolewa na maongezi na ushauri.