Ushauri kwa 'me'

Ushauri kwa 'me'

Huu ushauri ni kwa wanaume wa umri gani na wanawakr wa umri gani?
Kama umempenda binti/mwanamke usimuulize kama ameolewa au ana mchumba.Chakufanya mtoe 'out',mnunulie zawadi,vyakula,vinywaji;mpe maneno mazuri mazuri ya utani wa hapa na pale ya kuchekesha,na pia mpatie fedha za matumizi....baada ya hapo, we subiria yeye mwenyewe afanye maamuzi.
Cc Asprin
 
Simply women's desires are not satisfied over a single night bro..you ave to go a long way to meet women's desire hususani kwa yule mwenye malengo nae na unajua ni lazima utumie all what you got kumpata
Ni kweli mkuu,kama unatafuta mke hii staili haifai...unaweza kupata kitu feki kikagarimu maisha yote.
 
Kama umempenda binti/mwanamke usimuulize kama ameolewa au ana mchumba.Chakufanya mtoe 'out',mnunulie zawadi,vyakula,vinywaji;mpe maneno mazuri mazuri ya utani wa hapa na pale ya kuchekesha,na pia mpatie fedha za matumizi....baada ya hapo, we subiria yeye mwenyewe afanye maamuzi.
Katika process hizo usishangae unatekwa na watu wasiojulikana kumbe ni mme wake amewatuma. Kisa tu hukujiridhisha mapema kama ameolewa au la!
 
Katika process hizo usishangae unatekwa na watu wasiojulikana kumbe ni mme wake amewatuma. Kisa tu hukujiridhisha mapema kama ameolewa au la!
ha ha ha ha walioko maofisini wengi wanatafunwa kwa mbinu hizi
 
Yaani utitiri huu wa wanawake bado kuna mtu anatoa pesa. Dooh! Kweli dunia haiishi vituko
 
Back
Top Bottom