Wadau hii ndo itakuwa post yangu ya mwisho kuomba ushauri hapa kuhusu faculty za uchumi nazotaka kusoma........HGE nna div 13 baada ya kuuliza na kupitia pitia nimeamua kuchagua 5 kwa mtiririko kama ifuatavyo
1.Bcom in banking and financial services-UDSM
2-Bcom in Accounting-UDSM
3.Bachelor of economics-ARDHI
4.BAF-Public sector-MZumbe
5BBA-Udom.................
Mi nimechagua ila kwa kuwa humu kuna wazoefu naombeni tuzijadili hizo hili nifanye chaguo lililo makini zaidi.....
TWENDE KAZI
Siku hizi elimu imekuwa ya kijinga sana,yaani miaka yetu ukipata sijui hizo div za kuungaunga yaani wewe unaenda chuo cha ualimu mapema kuchukua form.Sasa kwa kuwa mambo yamekuwa marahisi eti mtu anakuja mpaka kuomba ushauri achukue degree gani du kweli bwana kila mtu na bahati yake na kila zama na kitabu chake
Kwa kuwa naamini we utakuwa mtu mzima sana basi ngoja ninyamaze.....nimekuheshimu sanaaa mkubwa
Mambo yamebadilika sana tangu kipindi ulichosoma wewe na hivi sasa....globalization imeleta side effect nyingi ambazo sisi kama vijana tunakutana na ugumu katika kupambana nazo ili kuyafikia malengo.....acha nithubutu kusema ningekuwepo kipindi ulichosoma wewe ningekuburuza vibaya vbaya kila mtihani......ndio kwa sababu nachanganya vitu vingi na bado na maintainUkweli ndio huo ndugu yangu, elimu ya sasa imerahisishwa mno yaani eti div 3 za A-Level unakuwa na option ya vyuo chungu nzima, ni ajabu na kweli. Take it or leave it but I stand to be corrected!
Hata kama matokeo ni mabaya,kwa hzo kozi za udsm na mzumbe huwezi kupata kwa points hzo.labda jaribu huko kwingne.over
Wadau hii ndo itakuwa post yangu ya mwisho kuomba ushauri hapa kuhusu faculty za uchumi nazotaka kusoma........HGE nna div 13 baada ya kuuliza na kupitia pitia nimeamua kuchagua 5 kwa mtiririko kama ifuatavyo
1.Bcom in banking and financial services-UDSM
2-Bcom in Accounting-UDSM
3.Bachelor of economics-ARDHI
4.BAF-Public sector-MZumbe
5BBA-Udom.................
Mi nimechagua ila kwa kuwa humu kuna wazoefu naombeni tuzijadili hizo hili nifanye chaguo lililo makini zaidi.....
TWENDE KAZI
elimu yetu ndo hiyo chagua yeyote kati hizo ìsipokuwa bcom.afu angalia soko la ajira na faculty ulizo omba ila why not education it is still marketable.
waambie ukweli..bhana .elimu ya sasa na ya zaman nitofauti.
Sasa UDSM atasoma nani ikiwa tanzania nzima kuna div one 325 tu hebu kadiria hapo za uchumi ngapi halafu uniambie kama tusipoenda sie atasoma nani????.... nadhani muda umefika tusiishi kwa mazoea
Mambo yamebadilika sana tangu kipindi ulichosoma wewe na hivi sasa....globalization imeleta side effect nyingi ambazo sisi kama vijana tunakutana na ugumu katika kupambana nazo ili kuyafikia malengo.....acha nithubutu kusema ningekuwepo kipindi ulichosoma wewe ningekuburuza vibaya vbaya kila mtihani......ndio kwa sababu nachanganya vitu vingi na bado na maintain
Upo mkubwaaa??
Bravo mbrazil we fanya yako 2,me pia nimehitim iyo hge bt nimeanza na land manag & valuation kwny selection zangu,,,,,kama una mwanga wa utajipanga vp uko mbelen hususan kwny soko la ajira no need ya ku turn back mkuu