Huyo ni project malum! Ana mipaka yake! Atauma na kupuliza.. Hawezi kuvuka mstari mwekundu kamweEndeleani kukamata mwizi kimya kimya. Ila fanyieni kazi mambo yafuatayo mambo:
1. Mambo ya public speaking. Mpina watu wameshakuweke wewe kama ndio mpinzani. Sasa basi, kwa siku hizi chache, jitahidi uelewe kulitawala jukwaa. Maelezo yasiwe mengi sana ila yenye tija.
2. Tafuta sauti ya mamlaka. Sauti ambayo ukiongea watu waendelee kusikiliza hata kwenye daladala. Usiongee kama umeamka usingizini.
3. Tafuteni back up ya Zitto. Ili akizingua huko mbeleni msichoke. Maana Zitto hawezi mapambano ya siku zote 60.
Sidhani!kama ndio mpinzani
Polepole alitoa kauli iliyoua ndoto za upinzani uliopo kushindana effectiveEndeleani kukamata mwizi kimya kimya. Ila fanyieni kazi mambo yafuatayo mambo:
1. Mambo ya public speaking. Mpina watu wameshakuweke wewe kama ndio mpinzani. Sasa basi, kwa siku hizi chache, jitahidi uelewe kulitawala jukwaa. Maelezo yasiwe mengi sana ila yenye tija.
2. Tafuta sauti ya mamlaka. Sauti ambayo ukiongea watu waendelee kusikiliza hata kwenye daladala. Usiongee kama umeamka usingizini.
3. Tafuteni back up ya Zitto. Ili akizingua huko mbeleni msichoke. Maana Zitto hawezi mapambano ya siku zote 60.
Hakuna mbadala wa chadema au lissu nchi hii nyie endeleeni na maigizo tu. Huyo Mpina akipitia hata robo ya aliyopitia Lissu anarudi CCM kesho asubuhi. Usishangae akarudia ya Membe ghafla hafanyi campaign.Mpina ndiye mbadala wa chadema, likely anaweza kupata kura yangu!
(Chadema ambayo tundu lisu siyo mgombea wake)
Akimaliza anarudi alikotoka. Halafu watu sasa hivi wanakaza fuvu kumfuatiliaHuyo ni project malum! Ana mipaka yake! Atauma na kupuliza.. Hawezi kuvuka mstari mwekundu kamwe
Hahaa CCM B hai hakuna kitu hapoEndeleani kukamata mwizi kimya kimya. Ila fanyieni kazi mambo yafuatayo mambo:
1. Mambo ya public speaking. Mpina watu wameshakuweke wewe kama ndio mpinzani. Sasa basi, kwa siku hizi chache, jitahidi uelewe kulitawala jukwaa. Maelezo yasiwe mengi sana ila yenye tija.
2. Tafuta sauti ya mamlaka. Sauti ambayo ukiongea watu waendelee kusikiliza hata kwenye daladala. Usiongee kama umeamka usingizini.
3. Tafuteni back up ya Zitto. Ili akizingua huko mbeleni msichoke. Maana Zitto hawezi mapambano ya siku zote 60.
Kweli, ana kura nyingi sana za hasira za watu. Hata asiposhinda, itawaonyesha ccm kuwa watu wanausongo nao.Anakura nyingi sana za kimya kimya.
Hadi atazikataa
Kwann zitto hawezi siku 60?Maana Zitto hawezi mapambano ya siku zote 60