Hakuna mwenye hati milikiG-55 ndio chadema asilia, ngoja kidogo.
ni sababu CDM wana watu makini wa kukiwasha Bungeni, ndio maana CCM hawatangaza kuwa wameshinda!Hapana, CCM sio wakususia uchaguzi, ndi watafurahi.
Lisu aingize timu, wabunge watakao patikana wakakiwashe bungeni, sauti zitasikika.
Wapambane ndani ya geti
Hapana, CCM sio wakususia uchaguzi, ndi watafurahi.
Lisu aingize timu, wabunge watakao patikana wakakiwashe bungeni, sauti zitasikika.
Wapambane ndani ya geti
Uchaguzi wa 2020 uliingiza wabunge wangapi wa upinzani??Hapana, CCM sio wakususia uchaguzi, ndi watafurahi.
Lisu aingize timu, wabunge watakao patikana wakakiwashe bungeni, sauti zitasikika.
Wapambane ndani ya geti
atakuambia walikuwapo COVID19Uchaguzi wa 2020 uliingiza wabunge wangapi wa upinzani??
Wataingiaje bungeni?Hapana, CCM sio wakususia uchaguzi, ndi watafurahi.
Lisu aingize timu, wabunge watakao patikana wakakiwashe bungeni, sauti zitasikika.
Wapambane ndani ya geti
Usitufundishe jinsi ya kufanya kazi zetu,wewe komaa na chama lenu mfuWafukuze G55 Mapema kabla hayajawa ya Lipumba kwa Maalim Seif kwa CUF.
Njia ya kuwafukuza wanachama.
Wafutwe kupitia matawi yao mmoja mmoja tena wiki hadi wiki. Njia hii itasaidia kulisambaratisha kundi hili
Vyenginevyo athari kubwa mbeleni.
Nimeamua kumsaidia Lissu ili kupinga siasa za ulaghai kwa vijana hasa wa upinzani kwani wakiachiwa wanawasababisha matatizo makubwa vijana wanaopenda siasa
Ndio wewe G55 ni miongoni mwenuUsitufundishe jinsi ya kufanya kazi zetu,wewe komaa na chama lenu mfu
Nimeshauri mara nyingi sana, chadema iwafukuze haraka iwezekanavyo.Wafukuze G55 Mapema kabla hayajawa ya Lipumba kwa Maalim Seif kwa CUF.
Njia ya kuwafukuza wanachama.
Wafutwe kupitia matawi yao mmoja mmoja tena wiki hadi wiki. Njia hii itasaidia kulisambaratisha kundi hili
Vyenginevyo athari kubwa mbeleni.
Nimeamua kumsaidia Lissu ili kupinga siasa za ulaghai kwa vijana hasa wa upinzani kwani wakiachiwa wanawasababisha matatizo makubwa vijana wanaopenda siasa
Huna akiliNdio wewe G55 ni miongoni mwenu
Ni bora kuliko kubaki na wasaliti in the name of "mawazo mbadala". Unataka gari lisonge wao wanakanyaga breki.Kwenye kampeni akina heche na lema walivokua wanamtukana Mbowe,na yeye angekua na mawazo hayo angewafukuza
Uongozi miezi 2 haujaisha mshaanza fukuzana
Ndio maana chama Tanzania ni kimoja tu Ccm,wengine wote ni vikundi vya wapingajiNi bora kuliko kubaki na wasaliti in the name of "mawazo mbadala". Unataka gari lisonge wao wanakanyaga breki.
Niwaombe viongozi wa chadema kuwa watulivu kidogo,ushauri wowote kutoka kambi iliyokuwa inapinga Lisu na Heche kukabidhiwa uongozi wa chama ni wa kuchukuliwa kwa tahadhari na umakini mkubwa.Kuibuka kwa G55 ni mtego ambao kuutegua hakuhitaji papara. Tunataka waliochimba shimo wadumbukie wenyewe bila kuacha alama kuwa walikuwepo.Wafukuze G55 Mapema kabla hayajawa ya Lipumba kwa Maalim Seif kwa CUF.
Njia ya kuwafukuza wanachama.
Wafutwe kupitia matawi yao mmoja mmoja tena wiki hadi wiki. Njia hii itasaidia kulisambaratisha kundi hili
Vyenginevyo athari kubwa mbeleni.
Nimeamua kumsaidia Lissu ili kupinga siasa za ulaghai kwa vijana hasa wa upinzani kwani wakiachiwa wanawasababisha matatizo makubwa vijana wanaopenda siasa
Uko sahihi. Akitaka wasilete shida, wafukuzwe kupitia matawi yao.Wafukuze G55 Mapema kabla hayajawa ya Lipumba kwa Maalim Seif kwa CUF.
Njia ya kuwafukuza wanachama.
Wafutwe kupitia matawi yao mmoja mmoja tena wiki hadi wiki. Njia hii itasaidia kulisambaratisha kundi hili
Vyenginevyo athari kubwa mbeleni.
Nimeamua kumsaidia Lissu ili kupinga siasa za ulaghai kwa vijana hasa wa upinzani kwani wakiachiwa wanawasababisha matatizo makubwa vijana wanaopenda siasa
Itafahamika mbele kwa mbele!Ndio maana chama Tanzania ni kimoja tu Ccm,wengine wote ni vikundi vya wapingaji
2020 Timu ilipoingia uwanjani CHADEMA ilipata Wabunge wangapi wa kuchaguliwa?Hapana, CCM sio wakususia uchaguzi, ndi watafurahi.
Lisu aingize timu, wabunge watakao patikana wakakiwashe bungeni, sauti zitasikika.
Wapambane ndani ya geti